Chit chat bado ipo?????

Ulijifanya umehamia kwenye mapenzi lol
haya karibia tena
 
Si ufunguke tu Bi'dada?
Wadhani hii dunia ina siri basi ?
Hiyo mimba (mornin sickness) twajua ndiyo inayokuadimisha humu!
Weka wazi tu! Hiyo hali sio hatia!

heheheh Judgment mdomo wako uwe wa kheri.... Ninahamu ya kujaza dunia....subiri nikilengeshe.....natamani kunyonyesha tena si unajua mtoto mchanga ana raha yake.....
 
Last edited by a moderator:
heheheh Judgment mdomo wako uwe wa kheri.... Ninahamu ya kujaza dunia....subiri nikilengeshe.....natamani kunyonyesha tena si unajua mtoto mchanga ana raha yake.....

Haswaa!
Umenijibu maswali yangu ya mwezi mzima mbele.
 
Last edited by a moderator:
Ndoa nyingi humu zimesambaratika BADILI TABIA, ndiyo maana mumeo Asprin mpaka saizi hajui kama umemuita!! Lakini isiwe nongwa kijana Erickb52 japokuwa kaadimika lakini alinipaga story eti ana.....!!

Mimi ngoja nikaendelee na CV ya Nape kule siasani maana inanifanga niburudike!
 
Last edited by a moderator:
Eti BADILI TABIA mke wa ujana wangu umeniita au maneno ya watu tu?
 
Last edited by a moderator:
Mzee wa Rula hivi upo duniani humuhumu au umehama sayari?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…