BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,230
BADILI TABIA mpenzi hivi unaweza kunisahau kiasi iko?
yaan wewe huwa nakuonaga majukwaa mengine upo bize unajifanya hunioni kabisa! mumeo kawekwa kwenye chupa dadaaaa!@cacio yupo lupango huyo mwingine mara ya mwisho niliskia sikia.....lakini usimwambie mtu siri yako eti eeeeeh ila acha UMIMI
ni badili tabia ninayemjua ama photokopi yake?
Hapi nyu yia!
Yanakuhuu?huyo huyo unayemjua...
Halafu Bishanga na wewe umeadimika ujue?
The secretary kakuficha nini?
Chit chati imekuwa chaliiiiii hamna mvuto watu wamekimbilia kule MMU
tupo tupo kabisa.
Nalog off
Kwa jeuri ya chama kubwa CCM,hapo vipi?Malizia ... Kwa jeuri ya chama kubwa la CC!!!