Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
We nawe utamtumiaje Dedication mwanaume mwenzako?
Tena mume wa mtu.
Mkewe namtosha.
sabal kheri mtaa huu!!
Niandikishe na mimi asee. Naomba na namba yangu ya usajili fasta.
mkiwa idle sana naomba muwasiliane nami kwa ajili ya kuwasambazia BHANGI...inasaidia sana kuleta liwazo...
namba ya usajili ni ®C.C.B/026