CHIT-CHAT BACHELORS (C.C.B) Jiandikishe mapema

ladyfurahia mie na Donn ni ndugu hatuwezi gombana bwana!
jamani mbona mnakaripiana kwa sababu ya hiyo juice niliyowatumia kunyweni wote msijali ila ilikuwa ya noahism
karibishaneni kwa upendo iyo juice jamani sipendi mkaripiane napenda kila mmoja afurahi tena furaha kubwa pokeeni ingine hii hapa
 
Last edited by a moderator:
picha za watu8 pale juu zimetoa mfano...kua ni muhimu kua with...ama?
Kam zis wei without bana. Utaaguliwaje ukiwa with? Hebu twende PM kwanza tukaweke mambo sawa.

CC: Kaizer, Filipo na watu8 kwa taarifa na angalizo.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
teh! teh! picha zote mbili zinaonesha tukio la ukaguzi...ambapo kuna Afisa Mkaguzi wa CC na Mkaguliwaji...hiyo with labda with a camera...

picha za watu8 pale juu zimetoa mfano...kua ni muhimu kua with...ama?
 
naendelea kulifuatilia kwa makini hili tukio adimu...kwa mwezi huu naona ndio linatufungulia mwezi!!!

Kam zis wei without bana. Utaaguliwaje ukiwa with? Hebu twende PM kwanza tukaweke mambo sawa.

CC: Kaizer, Filipo na watu8 kwa taarifa na angalizo.
 
Hi! Ni mpya kwenye blog! Hii na ni bachela na nataka nijiandikishe kwenye hii room
 
we kaa kwenye benchi hapo usubiri, babu kaenda kumfukuza huyu mpiga chabo, sijui ndio yupo with you...

ssshhhhh!..naelekea eneo la tukio...sioni wakaguaji ati
 
weeee..huyu mbna anatoa macho ata sijaanza kukaguliwa?...nashauri liwekwe pazia la chuma see..madirisha yote kasoro mlango tu,..ili in case of anything nipate pa kutokea
we kaa kwenye benchi hapo usubiri, babu kaenda kumfukuza huyu mpiga chabo, sijui ndio yupo with you...

Usimfikirie tena huyo tushamuweka lupango...

weeee..huyu mbna anatoa macho ata sijaanza kukaguliwa?...nashauri liwekwe pazia la chuma see..madirisha yote kasoro mlango tu,..ili in case of anything nipate pa kutokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…