Chiquitita Kulikoni

Chiquitita Kulikoni

Waqt huo lugha ya kubabiababia aah wacha kabisa mengine yanakupita ilikuwa kazi kweli kweli.
 
melody pia yakubabia ?
Hiyo ndio ilifanya nianze kuipenda khalafu nilipokuja kuyapata maneno basi tena ikawa bulbul tizama mitindo kama charanga watu wanapenda midundo kwa kwenda mbele ila ukija fahamu maneno yake basi inakuwa burdaaaaan
 
Back
Top Bottom