Rich Woman
JF-Expert Member
- Dec 18, 2012
- 867
- 558
kha! kupendwa ni janga la kitaifa
acha hizo zimaneno
Nisamehe bureee
Ujui wajibu wako
naufahamu wajibu wangu....
Hata wewe???unaniaibisha.....Sorry but this is childish
Haya kuhusu, na kama unaona utoto huna haja ya ku comment, ku quotes wala kutoa like, bali unge upotezea uzi kama auoni vile
Chonde chonde mkuu hapa CC tuna kawaida ya kuheshimiana...lugha uliyoitoa hapo sidhani kama ipo kwenye kamusi za CC.
Una haki ya kutoa ufafanuzi ulio na weledi kwa kuwa wewe ndiye uliyeweka hii mada jukwaani.
Soma mara mbili post ya dada wa watu,pamoja na kuwa alikuwa na nia ya kukukosoa lakini utaona katumia lugha ya heshima, vilevile utagundua kuwa kuna "some info" anazikosa.
na hizi timu mashabiki wao wakubwa wanaitwa minye ge.
Ipo siku kila mtu ataishangilia Simba Sports Club.
Nalog off
Rich woman umemuona wapi?
nakuomba tu tusimwage mchele hapa please...Kwanini hutekelezi?
mamiii nilishaitika toka janamuite..ataitika
nakuomba tu tusimwage mchele hapa please...
umepunguza mapenzi kabisa siku izi aiseeee
hapana sio hivyo mpenzi wangu
bado umeuteka mtima wangu
hakuna wa kuyapunguza mapenzi yangu kwako labda Mungu
naona kama siasa hapo zinaanza kufanya kazi yake....!
Nioneshe kwa matendo na sio polojo kama unanipenda kweli
kwa matendo yangu....nitalitambua vipi?