Poa ngoja nitembelee humoo...tazama release date ya tecno H5 ilikuja after p5
hii release ilikua february km sijakosea wkt huo kitkat bdo hawajafika kwa mediatek.. kwahyo automatic update haipo fanya 2 custom ROM
Then you guys VAN HEIST chief-mkwawa C6 na wengine jee ninyii ni developers wa android apps???coz nahisi ninaa idea ya baadhi ya apps au maboresho katika baadhi ya apps ilaa ndo sijui A wala B...so can we team up tufanye kitu??natoa mawazo nyie mnapima kama yanawezekanika na kama yana faida..can we??
Mdau C6 alinambia custom ROM ya hizi michina inasumbua sana na namuamini maana nikisechi ROM kwajili ya H5 sipati hata xda...my swali is,unawwza nisaidia custom ROM ambayo inaweza suite specifications za tecno H5???
Nina huawei y300 imepata update, nime update ila mbona sijaona mabadiliko yoyote kama os yake iko vilevile....msaada nahitaji maelezo kidogo kuhusu hili suala.
Nina huawei y300 imepata update, nime update ila mbona sijaona mabadiliko yoyote kama os yake iko vilevile....msaada nahitaji maelezo kidogo kuhusu hili suala.
Hapa umeshaua kioo,ni kitambo kidogo tu mstari utaongezeka zaidi,au kioo kitazima jumla.@C6 CHEF-mkwawa na wengine woote msaada tafadhali simu yangu ni samsung gs 5 ya kichina,jana imeniponyoka kwa bahati mbaya ikadondoka sakafuni, nilipoiokata nikaona bado iko on ila kuna mistari imetokea kuanzia juu mpaka chini na kuna mwanga backgound ambayo inasababisha screen kuwa black& white ila iwapo siitumii rangi inatudi kama kawaida nikigusa tu ku unlock ndipo mstari na mwanga huo vinajitokeza, naombeni ushauri wenu enyi manguli wa haya mambo, natanguliza shukrani kwenu.