Wenyewe wana msemo wao wanasema "ndani ya jiji la Dar ndivyo tunavyoishi..... Hao wa kuja wanatushangaa jinsi tulivyo wabishi!"Madume mazima mimi niliona ile kitu siku ya uzinduzi nilishangaa sana kweli Nchi ina vijana wa ajabu sana jitu kama Adam kweli na vichips wapi na wapi kweli wanaume wa Dar mmetisha aisee
Chips za KFC ni za 'kuoka' mlamu, hawatumii mafuta.achane ushamba wa tanzania chips inaliwa ulimwenguni kote haina mwanaume au mwanamke duniani kote kuna KFC branches za kimarekani. na ulaya ndio wanaoongoza kwa kula chips
Kuna kijiwe pale nyuma ya ofisi yao ndio wanakipigia promo maana huwa kinawabeba mno kwa kujaziwa chipsi na sometimes wanakopaImagine zama hizi ambazo dunia nzima inapambana na magonjwa yasiyoambukiza (Non Communicable Diseases) yakiwemo Magonjwa ya Moyo, Sukari, Cancers etc, ni nyakati ambazo dunia nzima inasisitiza kuepuka vyakula vyenye viashiria vya visababishi vya Magonjwa haya (kwa mfano kuepuka vyakula vinavyolowekwa kwenye mafuta kama chips etc) lakini hawa jamaa wameanzisha kabisa kampeni ya ku promote Chips Zege.
Je, kuna lengo gani nyuma ya kampeni zao? Kulikua na umuhimu gani wa ku promote Chips zege tena kwa vijana wa Dar es Salaam?
My take: Hawa jamaa badala ya ku promote lifestyle na vyakula vinavyotajwa kuwa na visababishi vya NCD, basi wangetumia muda huo ku promote ulaji wa balanced diets, matunda kwa wingi, white meat, mboga mboga etc.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna kijiwe pale nyuma ya ofisi yao ndio wanakipigia promo maana huwa kinawabeba mno kwa kujaziwa chipsi na sometimes wanakopa
Kwa bonge nini paleKuna kijiwe pale nyuma ya ofisi yao ndio wanakipigia promo maana huwa kinawabeba mno kwa kujaziwa chipsi na sometimes wanakopa
Hapo hapo ukiwakuta wanagombea vimishkaki vya ofa utwaonea huruma..halafu wana kelele haoKwa bonge nini pale
Ova