lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
... yaani watu wanashindia mboga kama chakula
ukienda mwanza kwa wasukuma wanatumia chips mayai kama mboga ya kulia ugali. yaani anakula ugali kwa kutumia chips mayai kama mboga. wakati watu wa dar es salaam wanatumia chips kama chakula kamili sisi sijui ndio ku make diet yaani watu wanashindia mboga kama chakula. ndo maana jamaa wa mwanza wako fit kuliko wabongo.mwenye kujua zaidi atujuze
je mua ni tunda au mti ?
mua ni tunda
Wakati upo shule ya msingi mwalimu wako wa sayansi kimu alikufunza kuwa mboga si chakula?
Ukienda Mwanza kwa wasukuma wanatumia chips mayai kama mboga ya kulia ugali. Yaani anakula ugali kwa kutumia chips mayai kama mboga. Wakati watu wa Dar es Salaam wanatumia chips kama chakula kamili sisi sijui ndio ku make diet yaani watu wanashindia mboga kama chakula. Ndio maana jamaa wa Mwanza wako fit kuliko wabongo. Mwenye kujua zaidi atujuze.
Hv hili somo la SAYANSI KIMU linafundishwa siku hizi? Poor Mungai
tunda lazma liwe na mbegu.
mua ni mti