Habari wanajukwaa,playstation 2 ambayo imechakuchuliwa(inasoma flash) inauzwa ikiwa pamoja na adapter,padi moja,memory ya kuwashia na flash ya gb 8 yenye mchezo wa pes 14
bei ni tsh 160,000 na kila kitu chake
Mwenye kuhtaji awasiliane kwa na. Za simu zifuatazo 0714061310
ahsanteni.!