Chinja Chinja: Kauli Mbiu mpya ya CUF

Nakumbuka enzi zile kuliwahi kuwepo shina la wakereketwa lililoitwa ROHO MKONONI sehemu fulani ya Jiji la Dar lakini nadhani walipoona haikuwa na tija wakalifuta. Hivyo sishangai kuja na chinja chinja
 
Hii kauli mbiu ya CUF ina maana gani?

250px-Prof._Lipumba_%28left%29_and_Seif_Shariff_Hamad_%28right%29_in_their_victory_press_conference_after_the_by-elections,_19_May_2003,_Chake_Chake_town,_Pemba,_Tanzania.JPG

Mi imenikosha hii picha, wkt mmoja anazungumza pumba zake, mwingine anawaza Uamsho. Macho nje wala habari hana, inaonesha hiki chama ni cha kimtindo.

Ipo siku huyu Maalim atakuja atake kugombea urais wa Muungano na hapo ndio watagombana na Sultan wa Tabora na chama chenyewe kitakufa
 
kwa nilivyoelewa mimi, kauli mbiu yao sio ''chinja chinja'' ila ni ''mchaka mchaka chinja'', na kauli kama hii tunaitumia kwenye mazoezi magwaride na imeanzishwa zamani tu na wazalendo wa nchii hii, mimi hapo sijaona ubaya kwa kuwa ina amsha hari ya wafuasi wake kupambana kisiasa ili wapate matumaini ya nafasi za uongozi, na ndo mana akasema''mchaka mchaka chinja hadi ikulu'' akimaanisha aingie ikulu.
 
Kauli mbiu ya Cuf kwa sasa ni Mchakamchaka hadi 2015.hiyo ya Chinjachinja ni yako.inamaana wewe wakati ulipokuwa shule hukuwahi kuimba nyimbo hii? hakuna asieifahamu nyimbo hii tokea shule msingi tulikuwa tunaimba.inamaana tulikuwa tunaenda kuchinja watu.tafuta vitu vya maana vya kuzungumza ili tusitilie shaka kiwango chako cha ELIMU.
 
Kauli mbiu hiyo, imeniacha hoi maana kwa hatua tuliyofikia watanzania juu ya uelewa wa elimu ya uraia inayaoendelea kuratibiwa na chadema, hatutegemei kauli mbiu chovu kama hizo!
 
hao CUF wameishiwa sera wamekwisha ungana na CCM huko Zanzibar kwa sasa hawana hoja.Hao ni mamluki wa CCM tu cha msingi ni kuwapuuzia tu.Wamesha poteza dira hawana jipya ZAMA ZAO ZIMEISHA
 
Hii kauli mbiu ya CUF ina maana gani?

Je hawakuwa na wataalam wa kuleta kauli mbiu yenye maana fasaha?




Mchakamchaka, Chinja chinja tupa , Mchakamchaka, chinja chinja tupa!
Alinselema alija, alinsema alija...

Mchakamchaka, Chinja chinja , Mchakamchaka, chinja


250px-Prof._Lipumba_(left)_and_Seif_Shariff_Hamad_(right)_in_their_victory_press_conference_after_the_by-elections,_19_May_2003,_Chake_Chake_town,_Pemba,_Tanzania.JPG

Huyo mwenye madevu mbona hayuko INTERESTED!! Hawa watachinjana kwanza wao kwa wao!
 
Dha nachoka kweli na cuf kaka angu alikuwa mwanachama hai wa cuf lakin kama angelikuwa hai cdhani kama angebaki kuwa cuf rip my bro.
 
Back
Top Bottom