Chini ya maji

Chini ya maji

Hiyo ndiyo tofauti na wenzetu, huku kwetu chini ya bahari au maji inasemakana wanaishi majini na wanga au wachawi yaani sayansi ya nguvu za giza...lkn kwa wenzetu ni sayansi ya mchana kweupe,
 
huo unaonekana ndo mrango wakuingilia au?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Wanajitahidi sana imewashinda kutengeza roho ya binaadamu tu


Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Na hapo ndipo tulipopatikana vinginevyo tungekuwa na kiburi cha hali ya juu na kujiona Mungu mtu.

Mwacheni Mungu aitwe Mungu na atabaki kuwa Mungu
 
Hata Zanzibar ipo kama hiyo, tatizo huja akiingia chizi, anaweza kutoa paa kuchukua samaki mmoja, balaa lake....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom