izo nafas bado zipo wakuu? je kuna course za afya? kuna garama gan za kujiandaa nazo,, pia baada ya kujaza na kuscan na kuprint tunasubmit wapi? tafadhali nieleweshe kama mtu nisie faham,, ukiguswa kunipa maelezo zaid nipatie namba yako,, stay blessed u all