Kipilipili JF-Expert Member Joined May 25, 2010 Posts 2,272 Reaction score 1,898 Mar 14, 2016 #41 admission inabidi ulipie.ila kama unataka kwa ajili ya kusaport maombi yako ya scholarship basi omba ACCEPTANCE LETTER ambayo inakuwa ni preadmission .hii hutolewa BURE na vyuo vingi.
admission inabidi ulipie.ila kama unataka kwa ajili ya kusaport maombi yako ya scholarship basi omba ACCEPTANCE LETTER ambayo inakuwa ni preadmission .hii hutolewa BURE na vyuo vingi.
K kenge mwekundu Member Joined Apr 3, 2016 Posts 67 Reaction score 26 Apr 7, 2016 #42 nashukuru mkuu mi ndo naona leo huu uzi naomba kukiwa na mapya tuzidi kujuzana
Chillah JF-Expert Member Joined Oct 12, 2016 Posts 9,231 Reaction score 10,469 Dec 8, 2016 #43 Vipi wadau wa maendeleo... na elimu, majibu yetu hayajatoka au ndio nimepigwa chini kimya kimya....
Chillah JF-Expert Member Joined Oct 12, 2016 Posts 9,231 Reaction score 10,469 Dec 8, 2016 #44 kama kupigana chini wawe wanasema tumekupiga chini ili mtu afahamu sio kimya kimya namna hii.... mtu ana subiria mpaka ana kata tamaaa
kama kupigana chini wawe wanasema tumekupiga chini ili mtu afahamu sio kimya kimya namna hii.... mtu ana subiria mpaka ana kata tamaaa
Mshua's JF-Expert Member Joined May 22, 2013 Posts 806 Reaction score 554 Dec 9, 2016 #45 Chillah said: Vipi wadau wa maendeleo... na elimu, majibu yetu hayajatoka au ndio nimepigwa chini kimya kimya.... Click to expand... Tembelea tovuti ya wizara ya elimu waliweka matokeo ya waliofaulu siku nyingi tu
Chillah said: Vipi wadau wa maendeleo... na elimu, majibu yetu hayajatoka au ndio nimepigwa chini kimya kimya.... Click to expand... Tembelea tovuti ya wizara ya elimu waliweka matokeo ya waliofaulu siku nyingi tu
R Ramsonii Member Joined Oct 5, 2016 Posts 45 Reaction score 31 Dec 9, 2016 #46 Aisee ndo nimeiona Leo hii, mwakani zipo?