bro najaza now hii agancy number naipata vip?? or plz pm me ua number so i can contact u direct or check me on 0768766159Tumia "internet explorer" sio "google chrome" wala "mozilla fire fox"
Sikupati....+8615554240279bro najaza now hii agancy number naipata vip?? or plz pm me ua number so i can contact u direct or check me on 0768766159
agency number Zote ziko hapa.Sikupati....+8615554240279
baadhi ya vyuo ambavyo unaweza kuomba moja kwa moja ni hivi hapa http://www.csc.edu.cn/laihua/universityen.aspxHabari wana JF.
Mimi ni mtanzania ambaye nimepata bahati tu ya kusoma china. Kitu kinachonisikitisha ni kwamba watanzania wengi tunakosa habari ( information) za mambo mbalimbali. Watu wa mataifa mbali mbali wanachangamkia sana fursa za elimu zinazotolewa huku kuliko sisi watanzania. Nisiseme sana ila lengo langu ni kutoa taarifa tu.
Kuna ufadhili ambao serikali ya china unautoa kila mwaka ukiachana na ule unaopitia serikalini na kutangazwa na sekta mbali mbali kama wizara ya elimu au wizara ya nishati na madini ambao ufadhili unatokea serikali ya china, ipo njia ya mtu binafsi kuomba ufadhili moja kwa moja kupitia chuo husika kilichopo Uchina ambacho kina uhusiano na sekta inayotoa mikopo huku china (China scholarship council). nimebainisha hapa chini mpangilio wa kuomba huu udhanimi.
1) sign up at [www.csc.edu.cn/laihua/noticeen.html]
2) jaza fomu itakayokuja na kisha ipakue (download)
3) Fanya maombi / application kwenda chuo unachokitaka ( kwenye mtandao/website wa chuo) sawa na ulichojaza awali (1) kisha ambatanisha na fomu uliyopakua awali (download)
4) Endelea na kazi zako huku ukisubiri kama utabahatika . ( waswahili wanasema itika wito kataa neno)
DEADLINE: march 2016 ( mwishoni )
Note: Wenye asilimia kubwa ya kupata niwale watakaoomba MASTER'S au PhD's kulingana na utafiti wa asilimia 95 ya waliopo hivyo kwa bachelor ni ngumu sana kupata labda uwe unajisomesha kwa pesa zako mwenyewe)
kwa msaada zaidi:[kbongole@yahoo.com]
Sasa mkuu ukisha download hiyo form uliyoijaza csc ina maana unatakiwa uitume hiyo kwenda kwa agency wako ambaye ni hiyo university kwa hiyo hapo inakuwaje?Habari wana JF.
Mimi ni mtanzania ambaye nimepata bahati tu ya kusoma china. Kitu kinachonisikitisha ni kwamba watanzania wengi tunakosa habari ( information) za mambo mbalimbali. Watu wa mataifa mbali mbali wanachangamkia sana fursa za elimu zinazotolewa huku kuliko sisi watanzania. Nisiseme sana ila lengo langu ni kutoa taarifa tu.
Kuna ufadhili ambao serikali ya china unautoa kila mwaka ukiachana na ule unaopitia serikalini na kutangazwa na sekta mbali mbali kama wizara ya elimu au wizara ya nishati na madini ambao ufadhili unatokea serikali ya china, ipo njia ya mtu binafsi kuomba ufadhili moja kwa moja kupitia chuo husika kilichopo Uchina ambacho kina uhusiano na sekta inayotoa mikopo huku china (China scholarship council). nimebainisha hapa chini mpangilio wa kuomba huu udhanimi.
1) sign up at [www.csc.edu.cn/laihua/noticeen.html]
2) jaza fomu itakayokuja na kisha ipakue (download)
3) Fanya maombi / application kwenda chuo unachokitaka ( kwenye mtandao/website wa chuo) sawa na ulichojaza awali (1) kisha ambatanisha na fomu uliyopakua awali (download)
4) Endelea na kazi zako huku ukisubiri kama utabahatika . ( waswahili wanasema itika wito kataa neno)
DEADLINE: march 2016 ( mwishoni )
Note: Wenye asilimia kubwa ya kupata niwale watakaoomba MASTER'S au PhD's kulingana na utafiti wa asilimia 95 ya waliopo hivyo kwa bachelor ni ngumu sana kupata labda uwe unajisomesha kwa pesa zako mwenyewe)
kwa msaada zaidi:[kbongole@yahoo.com]
kwa china, wanafunzi wa Tanzania ambao wamefanya masomo yao kwa lugha ya kingereza hawaguswi na hicho kipengele. unachotakiwa kufanya wakati unajaza fomu pale kwenye NATIVE LANGUAGE andika ENGLISH. inatosha.Halafu mtoa mada hivi ni lazima sana kufanya hii mitihani ya english proficiency kabla ya kufanya application?
ndio unatakiwa utume nakala ngumu(hard copy) ya hiyo fomu pamoja na suporting documents zote. tuma kwa EMS/DHL nkSasa mkuu ukisha download hiyo form uliyoijaza csc ina maana unatakiwa uitume hiyo kwenda kwa agency wako ambaye ni hiyo university kwa hiyo hapo inakuwaje?
Kuna chuo nataka niapply wao wana demand either hiyo mitihani au certificate of medium of instruction. Ila nimeona hiyo certificate of medium of instruction ni rahisi kupata maana ni kuandikiwa barua na chuo ulichosoma kuonesha kwamba english ndo ilikuwa medium of instruction, sasa mimi wasiwasi wangu ni kwamba sijui kama ntapata hii barua kwenye vyuo vyetu hivi.kwa china, wanafunzi wa Tanzania ambao wamefanya masomo yao kwa lugha ya kingereza hawaguswi na hicho kipengele. unachotakiwa kufanya wakati unajaza fomu pale kwenye NATIVE LANGUAGE andika ENGLISH. inatosha.