Chinese ambassador to Israel is found dead in his home

Mbona balozi wa Urusi kwa Umoja wa Mataifa, Vitaly Churkin alikufa akiwa New York siku ya mkutano. Na hakuna foul ilitajwa.

Inategemea vita ya maneno kati ya Marekani na China imefikia level gani.

Huyo Vitaly pia alikufa kwa Cardiac, na alikuwa kwenye vita ya mjadala kuhusu Syria kule Umoja wa mataifa.

Tatizo la mgandamizo wa moyo ni kuwa sana ukifika umri fulani hivi khasa mwishoni mwa miaka 50 kwenda juu.
 
Nadharia moja.

Sio nadharia, nimekupa hint marehemu inasemwa huenda ni cardiac arrest maana kakutwa kitandani amekufa.

Sasa tufikirie kama ni cardiac arrest hii husababishwa na ni?

Yapo mengi lakini kuna moja ambalo kwa sasa limekuwa "hot cake".

Mimi ninalo jibu ntakupa mwisho.
 
Sio nadharia, nimekupa hint marehemu inasemwa huenda ni cardiac arrest maana kakutwa kitandani amekufa.

Sasa tufikirie kama ni cardiac arrest hii husababishwa na ni?

Yapo mengi lakini kuna moja ambalo kwa sasa limekuwa "hot cake".

Mimi ninalo jibu ntakupa mwisho.
sasa na mimi nimezungumzia nadharia,we hujaelewa wapi hapo ?
 
Kwani maiti ya covid 19 haiwezi kukutwa kitandani? Nqomba kuelimishwa tu

Sent

Kwahio wataka kusema alijifungia ndani akiumwa COVID-19?

Kumbuka huyu alipowasili Tel Aviv kutokea Ukraine aliwekwa quarantine kwa wiki 2
 
Ni wapi wamesema kwamba ameuliwa kwa natural causes?
Sikumbuki exactly source niliyosikiliza.
Ila nimesikia wakisema hamna ishara yoyote ya violence hivyo ni heart attack. Heart attack ni natural causes right?

Labda mwili wake ukifika China tuone report yao itasemaje.
 
Ila hakuwa ameiva katika kucheza michezo ya kidiplomasia.

Ukiwa diplomat watakiwa kufahamu namna ya kucheza hii michezo.
Hakuna cha kuiva kwenye michezo wala nini. Diplomats wangapi wa US wanarudishwa kutoka Urusi, wangapi majasusi wanakamatwa kule North Korea mpaka hii case ya Kim Jong-un Wamarekani walikuwa wanapuyanga kabisa kwakuwa hawana source ya taarifa ndani kule. Ilikuwa vipi balozi wa US nchini Libya aliuwawa, tena Iran walihusika hapa.

Ilikuwaje Sergey Skripal akapewa sumu mchana kweupe tena kwenye kituo na waliompa hawajulikani, wakati UK ilimpa ulinzi wa kutosha maana alikuwa anatrain counterintelligence ya Ulaya nzima namna ya kuwanasa FSB.

Kwenye ujasusi kila mtu ana mjanja wake, kila kitu kina mwisho.
 
Ilikuwaje Sergey Skripal akapewa sumu mchana kweupe tena kwenye kituo na
Hakuna cha kuiva kwenye michezo wala nini. Diplomats wangapi wa US wanarudishwa kutoka Urusi, wangapi majasusi wanakamatwa kule North Korea mpaka hii case ya Kim Jong-un Wamarekanu walikuwa wanapuyanga kabisa kwakuwa hawana source ya taarifa ndani kule. Ilikuwa vipi balozi wa US nchini Libya aliuwawa, tena Iran walihusika hapa.

Ilikuwaje Sergey Skripal akapewa sumu mchana kweupe tena kwenye kituo na waliompa hawajulikani, wakati UK ilimpa ulinzi wa kutosha maana alikuwa anatrain counterintelligence ya Ulaya nzima namna ya kuwanasa FSB.

Kwenye ujasusi kila mtu ana mjanja wake, kila kitu kina mwisho.
Hili labwana skripal halikua lakweli nandio maana mpaka leo UK na EU walipo ambiwa watoe ushahidi yakwamba bwana yule double agent alipewa Sumu na RUSSIA hawajatoa

Sent using My COVID-19
 
Ilikuwaje Sergey Skripal akapewa sumu mchana kweupe tena kwenye kituo naHili labwana skripal halikua lakweli nandio maana mpaka leo UK na EU walipo ambiwa watoe ushahidi yakwamba bwana yule double agent alipewa Sumu na RUSSIA hawajatoa

Sent using My COVID-19
Unadhani Skripal alipewa sumu na mjingamjinga tu wa mtaani. Sumu ile ilitengenezwa Russia pekee, ni zile sumu ambazo inakuwa ni compounds mbili tofauti ambazo zikiwa zimetenganishwa haina madhara yoyote. Ukiunganisha tu hata tone mojamoja ni sumu kali mno, Skripal alipewa hiyo na hakuna nchi nyingine inaitengeneza tofauti na Russia, ingawa kuna mtaalamu wake mmoja alihamia Marekani (utetezi wa Russia).

Skripal alikuwa double agent mwenye cheo kikubwa kabisa kwenye FSB, alipogunduliwa akatoroka but akarudishwa na kufungwa. Alipoachiwa akakimbilia UK (fugitives wa Urusi hukimbilia UK) na uko MI6 wakamtumia kama mkufunzi wa counterintelligence ya kupambana na maofiisa wa nchi yake. Akawa anataja maofisa wote anaowajua walioko nchi za Ulaya na mbinu zao kwakuwa kabla alikuwa na cheo kikubwa FSB hivyo alijua.

Kwa Urusi, msaliti huwa anauwawa na yeye nadhani walijutia kutomuua badala yake wakamfunga. Walimuua mwanae mmoja, mwingine binti alikuwa naye UK wakapewa sumu wote. Hakuna mtu yeyote aliyekuwa interested na kifo chake ingawa hakufa. Hata angekuwa mwingine, asingepewa ile sumu na Russia. Ninachojua sahivi kaufyata, arudie tena ili afe!
 
Back
Top Bottom