Chinese ambassador to Israel is found dead in his home

... baada ya US, Russia, India, China is the next best friend of Israel. "Silicon Valley" ya uchina wamejaa wayahudi tu mule. Halafu Israel ikamuulie balozi wa China ndani ya Israel thinking ya kipumbavu kabisa. Kungekuwa na umuhimu huo wangemuulia Tehran tena makao makuu ya jeshi.

Sina hakika kama Bwana Utam ataelewa kanuni hii muhimu katika medani za kijasusi.
Msione nchi imekuwa na nguvu katika jeshi na katika teknolojia mnasema kuna Jews,kwani Jews ni nani? Jews ndio wamefanya China iwe hapo?
Russia utasikia wengi ni jews, mbona mnajipendekeza sana.
Russia na China hamna ushoga kule,ukiwa shoga utakubali sasa endelea kuwafananisha na Israel.
 
Unadhani Skripal alipewa sumu na mjingamjinga tu wa mtaani. Sumu ile ilitengenezwa Russia pekee, ni zile sumu ambazo inakuwa ni compounds mbili tofauti ambazo zikiwa zimetenganishwa haina madhara yoyote. Ukiunganisha tu hata tone mojamoja ni sumu kali mno, Skripal alipewa hiyo na hakuna nchi nyingine inaitengeneza tofauti na Russia, ingawa kuna mtaalamu wake mmoja alihamia Marekani (utetezi wa Russia).

Skripal alikuwa double agent mwenye cheo kikubwa kabisa kwenye FSB, alipogunduliwa akatoroka but akarudishwa na kufungwa. Alipoachiwa akakimbilia UK (fugitives wa Urusi hukimbilia UK) na uko MI6 wakamtumia kama mkufunzi wa counterintelligence ya kupambana na maofiisa wa nchi yake. Akawa anataja maofisa wote anaowajua walioko nchi za Ulaya na mbinu zao kwakuwa kabla alikuwa na cheo kikubwa FSB hivyo alijua.

Kwa Urusi, msaliti huwa anauwawa na yeye nadhani walijutia kutomuua badala yake wakamfunga. Walimuua mwanae mmoja, mwingine binti alikuwa naye UK wakapewa sumu wote. Hakuna mtu yeyote aliyekuwa interested na kifo chake ingawa hakufa. Hata angekuwa mwingine, asingepewa ile sumu na Russia. Ninachojua sahivi kaufyata, arudie tena ili afe!
kuhusiana na double agent nahayo yote uloelezea wala hakuna nnalopingana nawewe ila ishu nikwamba UK walipo ambiwa na RUSSIA walete Ushahidi Kuhusiana nahizo Shutma Je Uliwahisikia Yakwamba Wamepeleka Ushahidi ?!

Walikua wanatafuta sababu yakuiandama RUSSIA navikwazo mbalimbali nandio maana baada yahio Shutma nadhani wakumbuka vyema walichokumbana nacho RUSSIA.

Sent using My COVID-19
 
Mkuu sumu iliyotumika inatengenezwa Russia pekee wala si kwingine, hakuna sababu nyingine strong zaidi ya hii.

Ukiwaambia Iran watoe ushaidi nani alimuua Soleimani si watatoa taarifa za Marekani, US wangekana ungewaambia Iran watoe ushaidi gani ili tukubali.
 
Unataka ushahidi gani kutoka kwa US ambao tayari walishakiri MKUU ?!

Nakuhusiana nasumu kutengenezwa nataifa fulani ama fulani pia sijakataa nakama hio ndio ipo hivyo ndio ingekua njia rahisi nanyepesi kabisa yakutoa ushahidi ili vikwazo vyao vikapata nabaraka kabisa yakutokea UN maana watakua wameenda kufanya uhalifu katika sovereign state maana tukio lilitokea UK

Kwahio maneno matupu ya UK kama ilitumika sumu ambayo inapatikana RUSSIA bado hayawezi kukubalika kwasababu yamesemwa kwamaana hata US walisema Kama IRAQ kunasilaha zasumu ila mpaka sasa hatujaziona

UK kama hatakuja naushahidi wawazi kama walivyoombwa na RUSSIA hizozitakua tuhuma tukama tuhuma nyengine

Mwisho:-wamagharibi hasa US wanamsemo wao maarufu kabisa wanakwambia ukitaka kumuuwa mbwa kabla yayote mpe jina baya hapa utakua umepata uhalali wakumuua nandio kilichofanyika kwa sergei dhidi ya RUSSIA kwamaana usahidi wamaneno matupu sio ushahidi nahauaminiki kabisa hasa katika medani zakijasusi tena hasa ushahidi kama huo ambao upo wazi kabisa yakwamba sumu yatengenezwa RUSSIA pekee nanadiriki kusema RUSSIA hawajafanya hilo tukio nandio maana wanawakomalia US walete ushahidi sio maneno maneno matupu
Siungi mkono RUSSIA katika hili ila UK wameshindwa kuleta ushahidi wamaana kama walivyoutaka RUSSIA.

North Korea walipomuua Kim Jong-nam kwa VX walikataa kabisa, wakamfukuza na balozi. Tukio lilitokea airport na camera zilionesha, watu wanne waliohusika walipanda ndege na kuingia N.Korea, wale mabinti wawili waliohusishwa bila kujua walibaki na walitapika. Evidence zote hizi North walizikataa wakidai alikufa kwa heart attack, baada ya siku ngapi wakaomba msamaha. Uliona Singapore inaenda kushitaki UN?

US maofisa wake wamekamatwa Venezuela kwenye jaribio la mapinduzi. US imekataa kuhusika, unataka nao waende UN.

Tundu Lissu alipigwa risasi nyingi mchana kweupe, naye utamwambia atoe ushahidi.

Saudi Arabia wamemuua Kashoggi kwenye consulate yao kabisa. Kaingia kamuacha girlfriend nje, hajarudi mpaka leo. Video zimetolewa, audio akikatwa vipande zimetolewa lakini Saudia wanakataa. Nani ulimuona anaenda UN kushitaki.

Mimi naunga mkono kupewa sumu kwa Skripal. Usitake kunambia ulitaka Russia waseme wamehusika. Hiyo ya kwenda UN haifanyiki mara zote kwakuwa kuna kura ya turufu.
 
Naaam

-North korea walipinga ama walikataa kumpa jamaa sumu nakweli hatakama ungekua wewe ungekataa sababu masuala yaujasusi ndivyo yalivyo sababu ile jambo lingechafua mahusiano yaliyopo ama sura yataifa husika katika jamii (lakini baada yakupatikana ushahidi uliojitosheleza North korea walifanya nini ?!)

-US wamekataa kuhusika kwamaafisa wao kuhusika nayaliojiri hivi karibuni pale VENEZUELA ila ushahidi wa passport namengine unasemaje kuhusiana na US kwamba niwatu wao ama sio watu wao wao ?! Jibu niwatu wao ila wanawakataa sababu yakujisafisha katika medani ama macho yawalimwengu ila ushahidi kila mtu kauona baada yakuoneshwa kwa habarini na MADURO

-SAUDI ARABIA ushahidi upo na umejitosheleza wazi kabisa yakwamba KHASHOGI aliingia ubalozini na footage za CCTV camera zipo zinaonesha hvyo tupeni ama tuonesheni na footage za KHASHOGI alipotoka Ubalozini baada yakumaliza Mambo yake kama hamuna maana yake KHASHOGI bado yupo ndani ya ubalozi nakama haonekani maana yake mnajua alipo ila yupo humohumo ndani ya ubalozi(unataka ushahidi gani mkuu mpaka hapa ?)

Mimi sikatai sergei kupewa sumu nawala sikubali kama jamaa kapeea sumu kwasababu hakuna ushahidi ambao unathibitisha jamaa kupewa sumu ukiachana na ushahidi wakwamba sumu alopewa inatengenezwa RUSSIA tu hakuna ushahidi mwengine kwani kuhusiana na sumu kutengenezwa RUSSIA hawezi mtu akanunua akaenda nayo popote anapopataka ?!

Hayo mambo yote ulioelezea hapo juu yanauhakika zaidi kama yametendwa ndani yamataifa husika isipokua kwanamna moja ama nyengine maana yamejikamilisha kabisa katika ushahidi wake
Nahapa suala nnalolisemea mimi sio ulazima wakwenda UN hapana ila Nimezungumza kama kumnukuu sergio lavrov aliowaambia UK kama wanaushahidi wautowe na waende wakawashtaki RUSSIA katika UN (inawezekana kabisa yakwamba tukio limefanywa na RUSSIA ila UK hana ushahidi wadhati kabisa ambao kama atasimama nao moja kwamoja ijulikane kama alofanya vile ni RUSSIA hana nakama anao autoe Ndicho alichokiomba SERGEI LAVROV nandicho alichokiomba MARIA ZAKHAROV nandio nnachokisemea namimi hapa kama UK atakua anakuja naushahidi wake tu wakwenye media namaneno matupu haitakua namaana yeyote zaidi yakua nishutuma tu kama nyengine RUSSIA walisema wapo tayari kuwahusisha mpaka INTERPOOL kuhusiana namauaji ya SKRIPAL Mbona UK hawakuonesha Utayar ama kukubaliana najambo lile ?!

Sent using My COVID-19
 
Ukiwambia Jews wamemkataa Yesu wanaweza kutaka ngumi, yaani wanatamani Yesu angelikua anakubalika na wayahudi, lakini bahati mbaya historia inaonyesha ndio adui nambari moja tokea enzi
Msione nchi imekuwa na nguvu katika jeshi na katika teknolojia mnasema kuna Jews,kwani Jews ni nani? Jews ndio wamefanya China iwe hapo?
Russia utasikia wengi ni jews, mbona mnajipendekeza sana.
Russia na China hamna ushoga kule,ukiwa shoga utakubali sasa endelea kuwafananisha na Israel.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiwambia Jews wamemkataa Yesu wanaweza kutaka ngumi, yaani wanatamani Yesu angelikua anakubalika na wayahudi, lakini bahati mbaya historia inaonyesha ndio adui nambari moja tokea enzi

Sent using Jamii Forums mobile app
Eti mu Africa bibi yake akiwa Jew halafu afanye vumbuzi fulani au awe mahiri katika jambo fulani utasikia "ni smart kwa sababu ni Jew"
Ila shoga kama baba yake ni Jew husikii kitu.
Jew akitengeneza drone ya kufanya irrigation shambani utasikia kwenye vyombo vya habari "Israel watengeneza drone ya kumwagilia shamba" wakati hata vijana wa DIT wanatengeneza.
Imagine ile drone walioishusha Iran ingekua ni Israel imeshusha drone ya Syria asee pangekucha middle east,hata humu jf ungesikia jews ni smart.
Jews walimkataa yesu, na ni fake jews wale, eti taifa la kiyahudi wakati ushoga unakubalika, kiongozi wa kiyahudi ana tetea ushoga na IDF kuna mashoga na pia Tel Aviv ni gay paradise inaitwa hivyo kwa sababu kila mwaka karibu mashoga 100,000 hufanya sherehe hapo na lesbians pia.
Hivi uyahudi unaruhusu ushoga?
Kama ni nchi ya dini ya kiyahudi je kitabu chao kinaruhusu ushoga?
 
Jamaa wanavyowapamba kwenye vyombo vya habari utajua kuwa hawa jamaa wana udhaifu flani na wanalaana, yaani wanawalazimisha kuwainua ata kwa sifa za uongo
Eti mu Africa bibi yake akiwa Jew halafu afanye vumbuzi fulani au awe mahiri katika jambo fulani utasikia "ni smart kwa sababu ni Jew"
Ila shoga kama baba yake ni Jew husikii kitu.
Jew akitengeneza drone ya kufanya irrigation shambani utasikia kwenye vyombo vya habari "Israel watengeneza drone ya kumwagilia shamba" wakati hata vijana wa DIT wanatengeneza.
Imagine ile drone walioishusha Iran ingekua ni Israel imeshusha drone ya Syria asee pangekucha middle east,hata humu jf ungesikia jews ni smart.
Jews walimkataa yesu, na ni fake jews wale, eti taifa la kiyahudi wakati ushoga unakubalika, kiongozi wa kiyahudi ana tetea ushoga na IDF kuna mashoga na pia Tel Aviv ni gay paradise inaitwa hivyo kwa sababu kila mwaka karibu mashoga 100,000 hufanya sherehe hapo na lesbians pia.
Hivi uyahudi unaruhusu ushoga?
Kama ni nchi ya dini ya kiyahudi je kitabu chao kinaruhusu ushoga?

Sent from my JSN-L21 using JamiiForums mobile app
 
ngoja niendelee kulima mahindi.. haya mambo yanaongelewa humu sidhani kama yatazuia mahindi yangu kukua.. sijui ujususi ndo nn khaa

Mkulima wa mahindi
 
Naaam

-North korea walipinga ama walikataa kumpa jamaa sumu nakweli hatakama ungekua wewe ungekataa sababu masuala yaujasusi ndivyo yalivyo sababu ile jambo lingechafua mahusiano yaliyopo ama sura yataifa husika katika jamii (lakini baada yakupatikana ushahidi uliojitosheleza North korea walifanya nini ?!)

-US wamekataa kuhusika kwamaafisa wao kuhusika nayaliojiri hivi karibuni pale VENEZUELA ila ushahidi wa passport namengine unasemaje kuhusiana na US kwamba niwatu wao ama sio watu wao wao ?! Jibu niwatu wao ila wanawakataa sababu yakujisafisha katika medani ama macho yawalimwengu ila ushahidi kila mtu kauona baada yakuoneshwa kwa habarini na MADURO

-SAUDI ARABIA ushahidi upo na umejitosheleza wazi kabisa yakwamba KHASHOGI aliingia ubalozini na footage za CCTV camera zipo zinaonesha hvyo tupeni ama tuonesheni na footage za KHASHOGI alipotoka Ubalozini baada yakumaliza Mambo yake kama hamuna maana yake KHASHOGI bado yupo ndani ya ubalozi nakama haonekani maana yake mnajua alipo ila yupo humohumo ndani ya ubalozi(unataka ushahidi gani mkuu mpaka hapa ?)

Mimi sikatai sergei kupewa sumu nawala sikubali kama jamaa kapeea sumu kwasababu hakuna ushahidi ambao unathibitisha jamaa kupewa sumu ukiachana na ushahidi wakwamba sumu alopewa inatengenezwa RUSSIA tu hakuna ushahidi mwengine kwani kuhusiana na sumu kutengenezwa RUSSIA hawezi mtu akanunua akaenda nayo popote anapopataka ?!

Hayo mambo yote ulioelezea hapo juu yanauhakika zaidi kama yametendwa ndani yamataifa husika isipokua kwanamna moja ama nyengine maana yamejikamilisha kabisa katika ushahidi wake
Nahapa suala nnalolisemea mimi sio ulazima wakwenda UN hapana ila Nimezungumza kama kumnukuu sergio lavrov aliowaambia UK kama wanaushahidi wautowe na waende wakawashtaki RUSSIA katika UN (inawezekana kabisa yakwamba tukio limefanywa na RUSSIA ila UK hana ushahidi wadhati kabisa ambao kama atasimama nao moja kwamoja ijulikane kama alofanya vile ni RUSSIA hana nakama anao autoe Ndicho alichokiomba SERGEI LAVROV nandicho alichokiomba MARIA ZAKHAROV nandio nnachokisemea namimi hapa kama UK atakua anakuja naushahidi wake tu wakwenye media namaneno matupu haitakua namaana yeyote zaidi yakua nishutuma tu kama nyengine RUSSIA walisema wapo tayari kuwahusisha mpaka INTERPOOL kuhusiana namauaji ya SKRIPAL Mbona UK hawakuonesha Utayar ama kukubaliana najambo lile ?!

Sent using My COVID-19
North Korea walimuua Kim Jong-nam, ulitaka wafanye nini tena. Ushahidi ulitolewa na wakaukataa. Kilichotokea ni nini.

Kuhusu Kashoggi unaniunga mkono wala hakuna ubishi. Aliuwawa na Saudi Arabia, na haikupelekwa UN. Si lazima.

Unasema sumu ya Skripal watakuwa walipewa na Russia. Kwahiyo shirika la ujasusi la Urusi lina biashara ya kuuza sumu. Kuna senior CIA officer mmoja alisema yeye ndo anatoa ruhusa ya sumu na milipuko kwenye kitengo chake.
Sumu inatengenezwa Russia pekee dunia nzima afu unasema waliuza, umeambiwa ile ni kutoka kampuni ya kemikali au madawa. Ile inatoka FSB kwenyewe.

Na hiyo UN mbona unaikuza sana wakati watu wanaweza weka vikwazo bila kuihusisha.
 
Mkuu nahisi hujanielewa sijakomalia sana UN ila nilimaanisha yakwamba hao wengine walikiri yakwamba wamehusika kama NORTH nawaliokua hawajakiri kulikua maushahidi ambao haupingiki kama SAUDI ARABIA

Tukija kwa RUSSIA kwakua wameshakana uhusika wao unatakiwa uletwe ushahidi ambao hauna walakini

Kuhusiana nasuala lakemikali kuzalishwa RUSSIA pekee haiwez kua hoja yamsingi kwasababu hio sumu inahamishika

Ushahidi wa UK dhidi ya RUSSIA nidhaifu tena dhaifu sana ambao unabakia kuhesabika kama ushahidi ambao haujathibitika kikamilifu yaani haujitoshelezi nandio maana RUSSIA wakawaambia walete ushahidi ambao haunalongilongo mpaka leo haujaletwa hakuna ushahidi wavipimo wala nini juu ya SUMU ilotumika kwa SKRIPAL zaidi yamaneno matupu

Unatakiwa ushahidi kweli kweli sio maneno maneno ya UK

Acha kupindisha mambo, sumu inahamishika kwenda wapi. Nani anahamisha na kwa ruhusa ya nani, kwa matumizi yapi.
Imehamishika ili kumuua Skripal, kwahiyo aliyeihamisha hajui inaenda wapi? Novichok unaifananisha na sumu ya panya kwamba wanaitoa tu kwa mtu.
Unataka ushahidi gani sasa.

Nakukuta na simu ya Samsung nakwambia unatumia bland ya Korea unakataa ukisema huu ushahidi hautoshi.
 
Wala sijapindisha kitu mkuu kwani sumu haihamishiki hata bila yaruhusa ?!

Yaani ushahidi wakwamba unatumia samsung brand yakorea unataka nini zaidi ya hapo wakati unaniona natumia ?!

Skripal maneno matupu ushahidi wamaneno matupu ambao unaweza kupatikana zaidi yamaneno haukubaliki na haujiridhishi

Sent using My COVID-19
 
Kundi la kigaidi la wayahudi fake limeshamuuwa huyo balozi, hakuna watu magaidi duniani na makatili kama hawa wayahudi fake, wanajiona wao ndio binaadamu pure kuliko wengine wakati wanalaana ya kumkataa Yesu inawatafuna mpaka dunia itaisha, ata maisha yao hawana raha hawa jamaa, duniani kote hakuna anaewataka kwa laana zao, wanaongoza kwa ushoga duniani, vita havishi ktk maeneo wanayoyakalia kwa mabavu, yaaani uchafu mtupu

Sent using Jamii Forums mobile app
Lishia tayari limeandika mashudu hapa
 
Back
Top Bottom