Chinese ambassador to Israel is found dead in his home

(NIMEONA HII) Tunapeleka mameli ya mafuta na Gas matano Venezuela kutoka Tehran, tumepata taarifa kuwa huwenda marekani akazizuia meli wakati zikiekekea huko, lakini tunawaonya marekani ikae mbali na meli hizo ikitokea lolote kwenye meli hizo hatua za haraka zitachukuliwa dhidi ya meli zote iwe ya kijeshi au ya mzigo ya marekani popote pale

Sent using Jamii Forums mobile app
Eti meli za kijeshi tell em to f*cking try
 
Msione nchi imekuwa na nguvu katika jeshi na katika teknolojia mnasema kuna Jews,kwani Jews ni nani? Jews ndio wamefanya China iwe hapo?
Russia utasikia wengi ni jews, mbona mnajipendekeza sana.
Russia na China hamna ushoga kule,ukiwa shoga utakubali sasa endelea kuwafananisha na Israel.
Una uhakika China na Russia hakuna mashoga?
Even Saud Arabia hakuna mashoga una uhakika?
 
Ukiwambia Jews wamemkataa Yesu wanaweza kutaka ngumi, yaani wanatamani Yesu angelikua anakubalika na wayahudi, lakini bahati mbaya historia inaonyesha ndio adui nambari moja tokea enzi

Sent using Jamii Forums mobile app
Show me a Bible verse ambayo inawahukumu au kuwanenea mabaya Wayahudi kwa kitendo chao huna kafie mbele.

Bila Wayahudi kumuua Kristo tusingekuwa tunazungumza habari za kusamehewa dhambi wala uwepo wa wafuasi wa Kristo
 
Eti mu Africa bibi yake akiwa Jew halafu afanye vumbuzi fulani au awe mahiri katika jambo fulani utasikia "ni smart kwa sababu ni Jew"
Ila shoga kama baba yake ni Jew husikii kitu.
Jew akitengeneza drone ya kufanya irrigation shambani utasikia kwenye vyombo vya habari "Israel watengeneza drone ya kumwagilia shamba" wakati hata vijana wa DIT wanatengeneza.
Imagine ile drone walioishusha Iran ingekua ni Israel imeshusha drone ya Syria asee pangekucha middle east,hata humu jf ungesikia jews ni smart.
Jews walimkataa yesu, na ni fake jews wale, eti taifa la kiyahudi wakati ushoga unakubalika, kiongozi wa kiyahudi ana tetea ushoga na IDF kuna mashoga na pia Tel Aviv ni gay paradise inaitwa hivyo kwa sababu kila mwaka karibu mashoga 100,000 hufanya sherehe hapo na lesbians pia.
Hivi uyahudi unaruhusu ushoga?
Kama ni nchi ya dini ya kiyahudi je kitabu chao kinaruhusu ushoga?
Nionyeshe habari kutoka kwenye vyombo vya habari vya kimataifa Israel ikilalamika au raia wake wakilalamika kurushiwa makombora maelfu kwa maelefu kutoka Gaza.

Ukinionyesha kutoka hata Al-jazeera tu mimi nitakuonyesha za Palestina million 10 wakilaumu the same hali
 
Una uhakika China na Russia hakuna mashoga?
Even Saud Arabia hakuna mashoga una uhakika?
China na Russia kuna watu wa kila mataifa, kama shoga wapo itakua wanatokea USA,Europe na Israek ,huwezi Pima miqundu ya watu airport.
China na Russia wanapinga ushoga kwa nguvu.
Ulishasikia Putin anawatetea gays? Serikali ya China na Russia hazitambui ushoga.

Israel ushoga ni halali, baadhi ya wanajeshi Israel ni gays na serikali inatambua,polisi ni gays,Netanyahu ana watetea mashoga kama ukitaka vyanzo vya habari nikupe.

China na Russia sio wadini na wanapinga vikali mwanaume kupakwa mafuta.
Israel mnao waita wateule serikali inawatambua gays na wana haki zao.Ndio maana Tel Aviv panaitwa gay paradise.

Poleni sana.
 
Nionyeshe habari kutoka kwenye vyombo vya habari vya kimataifa Israel ikilalamika au raia wake wakilalamika kurushiwa makombora maelfu kwa maelefu kutoka Gaza.

Ukinionyesha kutoka hata Al-jazeera tu mimi nitakuonyesha za Palestina million 10 wakilaumu the same hali
Israel ilipigwa 2006 na Hezbollah wanaoitwa migambo wasiozidi 1000,vita ilikua ni mwezi 1 lakini UN kuona Israel kazidiwa ilibidi wa cease fire.
 
Israel ilipigwa 2006 na Hezbollah wanaoitwa migambo wasiozidi 1000,vita ilikua ni mwezi 1 lakini UN kuona Israel kazidiwa ilibidi wa cease fire.
Lmao! I'm not here to teach anyone history! Especially mashia
 
China na Russia kuna watu wa kila mataifa, kama shoga wapo itakua wanatokea USA,Europe na Israek ,huwezi Pima miqundu ya watu airport.
China na Russia wanapinga ushoga kwa nguvu.
Hao watu wa USA, Israel na Europe asili yao ni wapi?
Hakuna Nchi ina-support Ushoga kwenye kila nyanja kuanzia michezo hadi mitindo ya maisha kama U.K
.
America ilikuwa ina-support ushoga enzi za Obummer (Obama) Trump don't give that sh*t! Ila katiba ya America ni one of the best kwenye jambo la uhuru wa chochote inambana.

Ulishasikia Putin anawatetea gays? Serikali ya China na Russia hazitambui ushoga.
Serikali zote duniani zinatambua ushoga ila kuna serikali hazikubaliani na ushoga have some sense!
.
Putin ni Mkristo very extremist ndio maana anapambania hata katiba yao itambue uwepo wa Mungu.
Sijawahi kumsikia akitetea ushoga, je umewahi kumsikia Trump akitetea huo upuuzi?
Nionyeshe kesi yeyote au mtu aliyekamatwa Russia kwa kufanya ushoga au usagaji huna kalale.

Israel ushoga ni halali, baadhi ya wanajeshi Israel ni gays na serikali inatambua,polisi ni gays,Netanyahu ana watetea mashoga kama ukitaka vyanzo vya habari nikupe.
Sio tatizo, wewe jambo lisilokulisha, kukuvisha wala kukutendelea lolote linakuuma nini?

Wakati Obama anatetea ushoga hamkufagilia hadi barabara alivyokuja kwenu? Leo hii ukipewa fursa ya kuja America au kwenda U.K utaacha wewe?

China na Russia sio wadini na wanapinga vikali mwanaume kupakwa mafuta.
China ni wadini hujawahi kushuhudia toka uzaliwe nenda kaeneze uislamu wako randomly tena hata usitumie maneno ya chuki kaeneze tu kwa aya za Makkah uone watakacho kufanya under Uighur wanaelewa somo.
.
Russia ni zaidi ya udini wanao majengo yao ya serikali pale Moscow ile misalaba ni ya nini?

Israel mnao waita wateule serikali inawatambua gays na wana haki zao.Ndio maana Tel Aviv panaitwa gay paradise.

Poleni sana.
Yes ni wateule na itabaki kuwa hivyo ndio maana habari zao ziko ndani ya Koran yenu tena 80% kama sio 85%

Mimi kuwa Mkristo na nikibaka hakuchafui image ya Ukristo watu watarudi kwenye Bible inasema nini kuhusu ukibaka watapata jibu!

Ila wewe kuwa gaidi nikirudi kwenye Koran napata aya yake fasta
 
Wala sijapindisha kitu mkuu kwani sumu haihamishiki hata bila yaruhusa ?!

Yaani ushahidi wakwamba unatumia samsung brand yakorea unataka nini zaidi ya hapo wakati unaniona natumia ?!

Skripal maneno matupu ushahidi wamaneno matupu ambao unaweza kupatikana zaidi yamaneno haukubaliki na haujiridhishi

Sent using My COVID-19
Mkuu acha kupindisha mambo nakwambia. Unahamisha sumu yamekuwa maandazi sokoni?

Sumu iko stored na shirika la ujasusi we unasema inahamishika bila ruhusa. Unadhani FSB ni kama kwaya ile kwamba utachukua vifaa vyake uende navyo mtaani.
Sumu iko rethal na ni chemical components mbili tofauti we unasema zimehamishwa. Ndo maana huwa sitaki mijadara na wewe, unakaza fuvu kwenye hakuna. Ikija mada ya US vs Iran napo utasema Iran inampiga US.
Mi naongea uhalisia we unaongea ushabiki. Kaa na maamuzi yako.

Mimi: Russia walimpa sumu Skripal
Wewe: Hakuna ushahidi
Mimi: Novichok iliyotumika inatengenezwa Russia tu hapa duniani, na wenye nayo ni FSB (shirika la ujasusi, ambalo ndio lilitaka kumuua) tu.
Wewe: Huo sio ushahidi, hayo ni maneno. Sumu inaweza hamishika.

Inahamishika hayo yamekuwa maziwa mtindi ya supermarket??
 
China na Russia kuna watu wa kila mataifa, kama shoga wapo itakua wanatokea USA,Europe na Israek ,huwezi Pima miqundu ya watu airport.
China na Russia wanapinga ushoga kwa nguvu.
Ulishasikia Putin anawatetea gays? Serikali ya China na Russia hazitambui ushoga.

Israel ushoga ni halali, baadhi ya wanajeshi Israel ni gays na serikali inatambua,polisi ni gays,Netanyahu ana watetea mashoga kama ukitaka vyanzo vya habari nikupe.

China na Russia sio wadini na wanapinga vikali mwanaume kupakwa mafuta.
Israel mnao waita wateule serikali inawatambua gays na wana haki zao.Ndio maana Tel Aviv panaitwa gay paradise.

Poleni sana.
Likud, chama cha Benjamin Netanyahu kina kakitengo ka mashoga. Kama unavyoona UVCCM au BAVICHA, nao wana kakitengo ka watu hao.
 
America ilikuwa ina-support ushoga enzi za Obummer (Obama) Trump don't give that sh*t! Ila katiba ya America ni one of the best kwenye jambo la uhuru wa chochote inambana.
Nani kakuambia?

Ushoga ni halali marekani toka 2003 nationwide, 1962 baadhi ya states zilikuwa zinatambua ushoga ila baada ya 2003 ushoga ulihalalishwa nation wide na mpaka wakaruhusiwa kuingia jeshini, mnamo 2015 USA iliruhusu au ilitambua ndoa za mashoga.
Alichokifanya Trump ni kutoruhusu Transgender au wale waliokuwa wakibadilisha jinsia toka m/me kwenda m/ke au m/ke kwenda m/me kujiunga na jeshi la USA mnamo 2019, kwani hadi 2017 kulikuwa kuna trans wapatao 15000 katika jeshi la USA. 😂 😂 .
Lakini mpaka sasa shoga wanajiunga na jeshi kama kawaida ukiacha trans, Trump alichokuwa anafanya ni kutoruhusu baadhi ya huduma kuwabagua au kuwawekea vikwazo katika mambo fulani lakini kafeli, shoga wapo na wanapakwa mafuta kama kawaida😂😂.
Kuna state moja inaitwa American Samoa ndio hawajaruhusiwa kuoana lakini wanapakuana vizuri tu bila shida😂😂.
Kama watu since 1962 wanapakuana, Trump ni nani?

Putin ni Mkristo very extremist ndio maana anapambania hata katiba yao itambue uwepo wa Mungu.
Sijawahi kumsikia akitetea ushoga, je umewahi kumsikia Trump akitetea huo upuuzi?

Nakuambiaje Trump kutozungumza au kuzungumza hatobadili USA watu kuwa gays au kubadili sheria ya nchi hio watu wasipakuane.

Nionyeshe kesi yeyote au mtu aliyekamatwa Russia kwa kufanya ushoga au usagaji huna kalale.

Toka 1917 Russia ilipiga marufuku ushoga na pia kutoruhusu kabisa ushoga,kufikia 1993 sheria ilikuwa kali zaidi ikiwemo, kuua,kuwatesa, kupigwa mawe mitaani au kwenda jela kama penalty
_102831346_047de765-d214-4964-aa93-9e6daaeb5ca4.jpg

Hilo shoga limekamatwa linakula kichapo Russia.matukio ya askari kukamata gays ni mengi mno Russia.

Wakati Obama anatetea ushoga hamkufagilia hadi barabara alivyokuja kwenu? Leo hii ukipewa fursa ya kuja America au kwenda U.K utaacha wewe?
Sio Obama tu, hata Bush tulimpokea vizuri mno kwa sababu they were not gays, nimeshasema toka 1962 ushoga upo USA na unatambulika, wananchi wanapenda na wanapendekeza sio Obama anawafanya wawe gays.Obama kaukuta ushoga na kauacha.

China ni wadini hujawahi kushuhudia toka uzaliwe nenda kaeneze uislamu wako randomly tena hata usitumie maneno ya chuki kaeneze tu kwa aya za Makkah uone watakacho kufanya under Uighur wanaelewa somo.
Uislamu na udini umetokea wapi? nimezungumzia uislamu saa ngapi hapa? :oops::oops:

Russia ni zaidi ya udini wanao majengo yao ya serikali pale Moscow ile misalaba ni ya nini?
Udini unajua mwenyewe sijaongelea misalaba au misaafu.

Yes ni wateule na itabaki kuwa hivyo ndio maana habari zao ziko ndani ya Koran yenu tena 80% kama sio 85%
1018316866.jpg

1018316866.jpg

Askari wa jeshi teule hao😂😂😂😂.
Nimeshakuambia mambo ya dini sijazungumzia habari zao kuwa kwenye quran inanihusu nini?

Mimi kuwa Mkristo na nikibaka hakuchafui image ya Ukristo watu watarudi kwenye Bible inasema nini kuhusu ukibaka watapata jibu!
Kibaya zaidi ni kwamba case ya Israel kuwa na gays sio individual ni taifa teule linaruhusu wananchi kulawitiana, halafu mnasema ni taifa teule, endeleeni.

Ila wewe kuwa gaidi nikirudi kwenye Koran napata aya yake
No comment,😂😂😂😂.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom