Njilembera
JF-Expert Member
- May 10, 2008
- 1,496
- 610
Wana JF
Wakati sisi tunahangaika na kujenga ka-reli ka kutuanganisha sisi na Warwanda, Mchina yeye anafikiria kujenga reli ya umbali wa 13,000km ikiwa ni pamoja na 200km chini ya bahari kujiunganisha na Marekani. Mipango yake ni kuwa na treni yenye mbio za 350km kwa saa na safari nzima itachukua siku mbili tu yaani kama kutoka Bukoba kuja Dar kwa basi!
Halafu mnasema made in China mbofu mbofu:
soma: China Considering Building High-speed Rail Line From Beijing to the United States - World News Report