China yazindua meli kubwa ya kubeba ndege za kivita

Ni USS Nimitz ya Marekani ina uzito wa tani 100,000.

Pia ina uwezo wa kuzalisha hadi Megawatts 190 za umeme(cjui Tz tunatumia MW ngp kwa siku)
Matumizi ya nchi nzima ni chini ya 800MW nadhani kwa siku
 
Yah... Wkt wa WWII.
4beab3f190605c7687248041a6c9ff89.jpg

Baadhi ya Carriers za US ambazo ziliharibiwa wkt wa WWII ni pamojq na USS;
LANGLEY
HORNET
WASP
YORKTOWN

Japan:
AKAGI

UK:
AVENGER, etc.

Ila carriers za zaman na ss hv zina utofaut mkubwa maana za sasa hv zina mitambo ya ulinzi dhidi ya makombora, nk.

Pia zinasindikizwa na Deatroyers ambazo zinailinda dhid ya mashambuliz mbalimbali hvyo ni ngumu kuizamisha kwa kipindi hiki.
ef9a8fa5a0be602565671fcf7dd68549.jpg
b0d8e621d296a5974db2a8868ceb5855.jpg


Mfano US katengeneza SM-6 missile system dhidi ya makombora km DF-21 Carrier killer.

ff39d5b6ca0477cd4ee5989361f6cfb8.jpg
Pia ndan yke inakua imebeba ndege mbalimbali kwa ajili ya kudetect submarines km P-8 Poseidon (sub hunter)au zile za kudetect kombora kwa umbali mrefu mfano, E2D Hawkeye inaweza kudetect kombora likiwa umbali zaid za 345miles(kama 555+km hv),na ndege nyingne za mashambuliz bila kusahau drones.


Natumai na sisi tutafika huku siku moja, kuwa na runways za kwenye meli.


 
Wewe nchi yako imejenga kubwa kama hizi ngapi ? Au swli jepesi chi yako inayo meli hata ndogo ya aina hiii....? We bado mudogo saana kakojoe ukalale kama diamond
We in mkenya ? Maana mmevamia sana mitandao yetu mkiandika ujinga km wenu. Subirini August muuwane tena. Pambafu
 
Back
Top Bottom