Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,974
- 13,434
Hivi hata mtu akifanya Ugaidi bado mnamchukulia ni Mwislam?
Hivi hata mtu akifanya Ugaidi bado mnamchukulia ni Mwislam?
Wachina sijui kwanini wanaingangania Xinjiang ilhali wakazi wa eneo husika hawawataki.
Acheni kushabikia msiyoyajua, kupambana kutaka uhuru wa eneo lako kama ni ugaidi basi hata Hayati Mandela nz Rais Mugabe ni magaidi.
CHINA HAS TO FREE XINJIANG TO XINJIANGESE
daah hilo jina linatamktaje aisee?
Hivi huku hakuna haki za binadamu?
Kama mtu kajitangaza ya kuwa yeye ni muislam na akafanya ugaidi au baya lolote lile ataendelea kuwa muislam,vivyo hivyo kwa muumini wa dini yoyote ile iliyopo chini ya jua. Kazi ya kuhukumu ni yake M/mungu.
Nalog off