China yalaumiwa kuendeleza mateso

China yalaumiwa kuendeleza mateso

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,111
Reaction score
34,940
Mshirikishe mwenzako
140923064703_tools_of_torture_624x351_epa_nocredit.jpg
252167_853829931302340_477303397759930970_n.jpg


Vifaa vya mateso

Makampuni nchini China yameingia katika shutuma kali kua wanatengeza na kusafirisha vifaa vya mateso kwa vikosi vya polisi duniani.


Shirika la kutetea haki za binaadamu Amnesty International limetoa taarifa kuwa makampuni yapatayo mia moja na thelathini nchini humo,kati yao wamekiri kutengeneza vifaa hivyo ikiwemo vibanio vya umeme,viti vya umeme,na pingu za vidole gumba.

Inasemekana vifaa vingi japo hutengenezwa na kusafirishwa,vingi matumizi yake ni katika kuleta maumivu mwilini na mateso.


Shirika hilo la kutetea haki za binadamu lina shaka na nchi zenye ukiukwaji mkubwa wa haki za binaadamu hasa Africa na Kusini Mashariki mwa Asia wao ndio wateja wakuu wa vifaa hivyo.


Chanzo: BBC Swahili
 
Hapo nadhani all industrialized countries engaged in production of warfare assemblies are to blame including China. Watengenezaji wa madege ya kivita, meli, mabomu risasi etc yote ni kwa ajili ya kutesa watu. Labda china ilaumiwe kwa vile nchi zilizoendelea zinapeleka viwanda huko!
 
Back
Top Bottom