China yaazimia sera ya mtoto mmoja kwa wanandoa

bmalale

Senior Member
Mar 30, 2011
467
0
Bunge la china limepitisha maazimio ya kurahisisha sera ya mtoto mmoja kwa mujibu wa televisheni ya taifa hilo.
Maazimio haya yanapishana na yale ya Kamati ya Kudumu ya NPC nchini humo ambayo ilipitisha azimio la kuruhusu wanandoa kuwa na watoto wawili.

Mabadiliko katika sera yalitangazwa kufuatia mkutano wa viongozi wa juu wa Chama cha Kikomunisti mwezi Novemba.


Mabadiliko hayo ambayo yamejiri mwishoni mwa mkutano wa siku sita wa chama cha Congress yamekwishafanyiwa majaribio katika baadhi ya maeneno nchini humo.
Ilihitajika idhini rasmi kisheria ili kutekelezwa.


China ilianzisha sera yake ya mtoto mmoja mwishoni mwa miaka ya 1970 na kukabiliana na ongezeko la haraka la idadi ya watu.

DarNewsLine
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom