Wewe sasa umevurugwa zaidi kuliko hata hao waliopo Kremlin [emoji23][emoji23]Baada ya minong'ono ya muda mrefu kuhusu uwezekano wa China kuisaidia Urusi katika vita vyake na Ukraine hapo jana kwa mara ya mwanzo China imepeleka moja ya silaha zake kali za kutungulia ndege huko Serbia jirani na Urusi.
Katika msafara huo uliofanywa kwa siri ndege 6 za kubebea mizigo aina ya Y-20 zilitua Belgrade hatimae kwenda Serbia zikiwa zimebeba makombora ya kichina ya HQ-22 maalum kwa kutungulia ndege.
Hatua hiyo ya China imekuja wakati Urusi ikiwa imebadili kamanda wa kivita nchini Ukraine na rais Zelensky wa Ukraine naye akiwatolea jeuri mataifa ya NATO kwa kusema hana hamu tena na Diplomasia yao.
BELGRADE, Serbia — Russian ally Serbia took the delivery of a sophisticated Chinese anti-aircraft system in a veiled operation this weekend, amid Western concerns that an arms buildup in the Balkans at the time of the war in Ukraine could threaten the fragile peace in the region.
Are you on Telegram? Subscribe to our channel for the latest updates on Russia's war in Ukraine.
Media and military experts said Sunday that six Chinese Air Force Y-20 transport planes landed at Belgrade’s civilian airport early Saturday, reportedly carrying HQ-22 surface-to-air missile systems for the Serbian military.
Hii taifa lina vijana wengi wenye mtindio wa Ubongo.[emoji1][emoji1][emoji1]yaani inawasaidia kwa Siri Ila wewe Mrusi wa Manzese umejua
[emoji23][emoji23][emoji23] wao sasa ndiyo wamekuwa ComedianWarusi wa namtumbo kwa uongo hamjambo
Watu bana,yaani unamlaumu mtoa taarifa wakati na yeye kaileta kutoka huko.Warusi wa namtumbo kwa uongo hamjambo
hasara itazidi kuwa kwao... africa na mchina damu damu... na miktaba tuliyo ingia nae ni raha tupu, kuanzia somalia mpka zambia, nenda misri mpaka ghana... rudi malysia, indonesia etc... na makampuni makubwa yatakayo pata hasara ni ya US ambayo yanafanya uzalishaji wake kutokea china kama iphone etcInawezekana maisha ya mbele china akawekewa vikwazo maana mabeberu ndio yanayo kupandisha na kukushusha
Hiyo copy and pasteAlicho kifanya mchina ni sawa na alicho kifanya Mmarekani! mchina technology yake sio ya kuchukulia poa
Si mlikuwa mnakataa hapa kuwa Urusi haijaomba na wala haiwezi kuomba msaada wa kijeshi kutoka China?Sawa TU kama ni kweli,Kila mtu na marafiki zake,
Ikiwa USA na wenzake wa NATO na wasio wa nato anapump silaha Kila siku,
Ili kumchosha mrusi,
Wakati huohuo USA amepeleka silaha Taiwan.
Basi mchina nae ana nafasi ya kufanya hivyo.
NDo USA ajue unafiki una mwisho.
Hii nayo sio propaganda?Watu bana,yaani unamlaumu mtoa taarifa wakati na yeye kaileta kutoka huko.
Au hayo maandishi ya kiulaya hujayaona?
Mpaka Taifa kuwa Superpower tena kwa miaka mingi maana yake linaendeshwa na viongozi wenye akili kweli.Unadhani wajuba waliopo pale WH ni wajinga?hasara itazidi kuwa kwao... africa na mchina damu damu... na miktaba tuliyo ingia nae ni raha tupu, kuanzia somalia mpka zambia, nenda misri mpaka ghana... rudi malysia, indonesia etc... na makampuni makubwa yatakayo pata hasara ni ya US ambayo yanafanya uzalishaji wake kutokea china kama iphone etc