Kwani china ni ya kizamani etiUnawaza kizamani sana🐼
imagine, mtu mzima anaamini adui atakuja akae zanzibar ashambulia tz, kama ni ni kushambulia,atashindwa nini kukaa habarini, au kutua rwanda, au nchi zingine za karibu? ungesema unaogopa kisiwa kitabadilika kuwa somalia kwa magaidi hapo ningekuelewa.Inaeleweka wazi kukaribiana au kupakana na kisiwa ni hatari kwa security ya nchi ndo mana nyerer aliona mbali na kukinyakua. Sasa akina lisu wenye akili finyu hilo hawalioni na wengine wenye fikra mgando.
China kwa gharama yoyote wanataka kukinyakua taiwani na marekani inashupaza shingo mana inajua pale ndo naval base ya kuishambulia china.
Hakuna muungano we hivyo. Muungo means that one must looseSio kwamba lisu hataki muungano, anataka muungano wenye pande tatu, moja smz mbili Tanganyika gov then tatu union gov, ili kuwa na usawa
Mi naamini ndiyo alilenga huko.imagine, mtu mzima anaamini adui atakuja akae zanzibar ashambulia tz, kama ni ni kushambulia,atashindwa nini kukaa habarini, au kutua rwanda, au nchi zingine za karibu? ungesema unaogopa kisiwa kitabadilika kuwa somalia kwa magaidi hapo ningekuelewa.
Tunapakana na nchi nane,Saba kukiwa hakuna mpaka baharini,adui kwa nini asipitie huko!?Inaeleweka wazi kukaribiana au kupakana na kisiwa ni hatari kwa security ya nchi ndo mana nyerer aliona mbali na kukinyakua. Sasa akina lisu wenye akili finyu hilo hawalioni na wengine wenye fikra mgando.
China kwa gharama yoyote wanataka kukinyakua taiwani na marekani inashupaza shingo mana inajua pale ndo naval base ya kuishambulia china.
SASA Kwa SASA Sisi wabara tumeloose saana. Watetezi wetu ndio hao wakina lissuHakuna muungano we hivyo. Muungo means that one must loose
Unamchagulia adui pa kupitaTunapakana na nchi nane,Saba kukiwa hakuna mpaka baharini,adui kwa nini asipitie huko!?
Wewe unayelazimisha adui kupitia zenji ndiyo unamchagulia adui pa kupitaUnamchagulia adui pa kupita
as if bara hakuna magaidi? ingia kwenye system, au uliza mtu yeyote aliyepo kwenye system atakuambia, bara kuna magaidi wengi ajabu. na kama kuamin kwamba walipo waislam kuna ugaidi (jambo ambalo sio) mbona bara kuna waislam wengi kuliko raia wote wa zanzibar? shehe ponda huyo unayemwona ana watu wengi sana magaidi. wapo na wanaachwa tu.Mi naamini ndiyo alilenga huko.
Jamaa hata halijui lissu anapigania nini,Sio kwamba lisu hataki muungano, anataka muungano wenye pande tatu, moja smz mbili Tanganyika gov then tatu union gov, ili kuwa na usawa
Lissu hajawai sema Zanzibar iachiwe , ukiwa unaisikiliza ccmu bila kumfuatilia Lissu alivyoyatamka hayo maneno bas utaishia kuwa mbumbumbuuu , wajinga na wavivu kufuatilia ni mtaji wa ccmu , mf ccmu walikuwa wanazurura kuwaambia watu kuwa upinzan wanapinga uwekezaj wkt upinzani walikuwa wanapinga mkataba mbovu na sio uwekezaj , na wapo wajinga wengi kama wewe waliwaponda upinzani bila kutenga muda kuwafuatilia upinzan .Inaeleweka wazi kukaribiana au kupakana na kisiwa ni hatari kwa security ya nchi ndo mana nyerer aliona mbali na kukinyakua. Sasa akina lisu wenye akili finyu hilo hawalioni na wengine wenye fikra mgando.
China kwa gharama yoyote wanataka kukinyakua taiwani na marekani inashupaza shingo mana inajua pale ndo naval base ya kuishambulia china.
Huo ni uzamani na siasa zilizopitwa na wakati,kama issue ni ukaribu kuna visiwa vingapi viko karibu yetu lkn hatujaungana navyo? Comoro, Madagascar nk vyote vipo bahar ya hindi krb kbs na nchi yetu,iweje Zanzibar? Km sio wendawazim ni nini,? Unaweza kuzuia taifa kubwa lisikushambulie iwapo linataka kwa sbb ya muungano na Zanzibar? This is crazyInaeleweka wazi kukaribiana au kupakana na kisiwa ni hatari kwa security ya nchi ndo mana nyerer aliona mbali na kukinyakua. Sasa akina lisu wenye akili finyu hilo hawalioni na wengine wenye fikra mgando.
China kwa gharama yoyote wanataka kukinyakua taiwani na marekani inashupaza shingo mana inajua pale ndo naval base ya kuishambulia china.