Wameshindwa wapi?kuna baadhi ya watanzania wanataka kuleta utapeli kwa watanzania
china.ni taifa lilikuwa la kijamaa limeshidwa ujamaa pia tanzania ilikuwa nchi ya kijamaa imeshindwa,lkn kuna baadhi ya watnzania wachache wanataka kuwahadaa watanzania kuwa wanataka kurudisha kwenye ujamaa
Nchi karibu zote zilizokuwa za kijamaa zimeshindwa,nchi pekee iliyobaki ya kijamaa ni korea kaskazini pekee,sasa hawa wanasiasa wanataka kuturudisha kwenye ujamaa wanafikiri vizuri kweli?
wanasiasa kwa sasa inabidi waelekeze nguvu zao kutetea rasm ya mzee warioba ndio inatoa dira.nzuri ya taifa letu,sio kila mtu aje na mipango yake
Umesema China wameshindwa ujamaa weka ushahidi basi.wanaotaka kurudisha ujamaa wanatunganya kuwa ujamaa ni haki sawa kwa wote,ni furusa sawa kwa wote lkn ukiangalia kwa jicho la tatu wanatudanganya
Wameshindwa wapi?
Socialism with Chinese characteristics, meaning socialism adapted to Chinese conditions, is the official ideology of theCommunist Party of China-(CPC) based uponscientific socialism. This ideology supports the creation of a-socialist market economydominated by the public sector since China is in the-primary stage of socialism. The Chinese government maintains that it has not abandoned-Marxism-but has developed many of the terms and concepts of Marxist theory to accommodate its new economic system. The CPC argues that socialism is compatible with these economic policies. In current Chinese Communist thinking, China is in the primary stage of socialisma view which explains the Chinese government's flexible economic policies to develop into an industrialized nation.
Na hawa Denmark wameshindwa.kuwa mjanja ujamaa wa china ni wa kisanii,warioba alishamaliza kazi na watanzania tulishatoa maoni yetu tanataka tanzania iweje sasa ww bado unataka kujifanya unawaiga wachina?
Umesema China wameshindwa ujamaa weka ushahidi basi.
Ujamaa ni nini?due to x-stics za ujamaa duniani hakuna nchi yoyote ambayo ni pure socialist
Ujamaa ni nini?
Teh teh teh daah!!!Navyoelewa ujamaa niwachache kunafaika na keki ya taifa km wanavyofanya ccm.wanarithishana uongozi mpka kwa wajukuu.
due to x-stics za ujamaa duniani hakuna nchi yoyote ambayo ni pure socialist
Teh teh teh daah!!!
Hivi unajua ujamaa ni nini kwa faida ya Wanaukumbi tufahamishe ujamaa nini?