Vita gani mkuu.Hii vita wachina itaawacha mgongo wazi.
Wachina wajanja sana siyo Zambia tu hata sisi wanatunyemelea, na kwa aina ya viongozi tulionao type ya Chief Mangungo na tamaa zao lazima kuna siku tutashindwa kulipa mikopo si umeona gesi ya Mtwara inavyoliwa na wazungu.Makavu live. Nimeskia wanasema nchi za Africa zinataka kununuliwa na China lakini wao hawawezi kuzinunua zote kwa pamoja,wanaanza na Zambia kwanza
Hizo governments Africa zainawekwa na watu kama akina Jecha ......... siyo wananchi!!Chinese officials have defended their government for working with corrupt African governments saying that China did not have a choice as it was not responsible for selecting the governments.
Former Chinese envoys blamed Africans for voting for corrupt governments leaving them with no choice but to work with the elected government. Responding to questions from African journalists at the 2018 Beijing Summit of the Forum on China-Africa Cooperation (Focac), former head of the Chinese Foreign Ministry’s Africa division, Cheng Tao said
An African friend told me, our government is extremely corrupt. How come you’re still involved with them? Our government has asked the Chinese government to build a bridge and a hospital, but the Chinese government shouldn’t help them.I told him – you voted for this government. It’s the only government we can deal with. But the bridge and the hospital are not built for the president or officials but are for the common people. So I think this is another perspective that can be considered when looking at this issue.China’s former special envoy to Africa, Liu Guijin added,
China’s engagement in Africa is focused on its people and we do not give our money to corrupt governments or officials.Kuna ka ukweli ndani yake.
Kwani Jecha sio mwananchi?Hizo governments Africa zainawekwa na watu kama akina Jecha ......... siyo wananchi!!
Halafu mwananchi unamtazama tu Jecha anakupachikia raisi?basi wewe ni mwananchi punguaniHizo governments Africa zainawekwa na watu kama akina Jecha ......... siyo wananchi!!
Wewe usiye punguani umefanya nini ....!!?Halafu mwananchi unamtazama tu Jecha anakupachikia raisi?basi wewe ni mwananchi punguani
Viongozi kama hao type ya Jecha ndio wanaosemwa na China kuwa watafanya kazi nao wanajua ni rahisi kuwapa 10% ili wauze nchi kama walivyouza Gesi ya Mtwara na leo tunajidai kulia.Kwani Jecha sio mwananchi?
Makavu live. Nimeskia wanasema nchi za Africa zinataka kununuliwa na China lakini wao hawawezi kuzinunua zote kwa pamoja,wanaanza na Zambia kwanza
JibuJibu zuri kabisa.
Sometimes waafrika Akili zetu ni za kulaumu laumu kwa kila jambo
weka cv ya jecha uone jamaa alimaanisha nini.Kwani Jecha sio mwananchi?
Nitumie namba yako nikuonyesheWewe usiye punguani umefanya nini ....!!?
Weka ya CV ya Mbowe kwanza halafu tulinganishe Na ya Jechaweka cv ya jecha uone jamaa alimaanisha nini.