Kama tumefika tulipo, huko nako tutafika, ni wakati tuChina tayari Imeanzisha Mtandao wa Broadband wa Kwanza wa "10G" Duniani! π€―
Kumbuka sio 6 ah 7G ni 10G!... Mshindani wake mkubwa Marekani bado anahangaika na 6G kuitafuta 7Gπ
Sisi huku Afrika tuendelee tu kunywa mtorii na kufanyiana figisu za kisiasa, hayo mengine tuyasome Kama simulizi za Alfu lela ulela au siku elfu na moja (1001)
Mvimba macho kapita na spidi ya ngiri kiyeo juu katuachia vumbi tuuπππView attachment 3349310
sisi hata kujitawala tu tumeshindwa! what a shithole country!!!!!!!China tayari Imeanzisha Mtandao wa Broadband wa Kwanza wa "10G" Duniani! π€―
Kumbuka sio 6 ah 7G ni 10G!... Mshindani wake mkubwa Marekani bado anahangaika na 6G kuitafuta 7Gπ
Sisi huku Afrika tuendelee tu kunywa mtorii na kufanyiana figisu za kisiasa, hayo mengine tuyasome Kama simulizi za Alfu lela ulela au siku elfu na moja (1001)
Mvimba macho kapita na spidi ya ngiri kiyeo juu katuachia vumbi tuuπππView attachment 3349310
Hii taarifa iko nusu na ina nia ya kupotosha.China tayari Imeanzisha Mtandao wa Broadband wa Kwanza wa "10G" Duniani! π€―
Kumbuka sio 6 ah 7G ni 10G!... Mshindani wake mkubwa Marekani bado anahangaika na 6G kuitafuta 7Gπ
Sisi huku Afrika tuendelee tu kunywa mtorii na kufanyiana figisu za kisiasa, hayo mengine tuyasome Kama simulizi za Alfu lela ulela au siku elfu na moja (1001)
Mvimba macho kapita na spidi ya ngiri kiyeo juu katuachia vumbi tuuπππView attachment 3349310
10Gbps kwa mtu wa kawaida Bongo use case yake ni ipi?Hii taarifa iko nusu na ina nia ya kupotosha.
China anazindua 10G kwa maana kwamba anazindua uwezo wa kupakua data ama download speed ya 10 gigabytes na sio kwamba anazindua 10G ya maana ya Generation kama 5G.
Soma hiyo taarifa hapa chini. Kinachozungumziwa kwenye 10G ni G ya Gigabytes ya kupakua data na sio G ya Generation kama ya 5G.
What Does Chinaβs Newly Launched 10G Internet Actually Mean?
Between April 20 and 24, media outlets reported that China had launched 10G internet for the first time. According tomythdetector.com
Nimeelewa sasaHii taarifa iko nusu na ina nia ya kupotosha.
China anazindua 10G kwa maana kwamba anazindua uwezo wa kupakua data ama download speed ya 10 gigabytes na sio kwamba anazindua 10G ya maana ya Generation kama 5G.
Soma hiyo taarifa hapa chini. Kinachozungumziwa kwenye 10G ni G ya Gigabytes ya kupakua data na sio G ya Generation kama ya 5G.
What Does Chinaβs Newly Launched 10G Internet Actually Mean?
Between April 20 and 24, media outlets reported that China had launched 10G internet for the first time. According tomythdetector.com
Asante kwa heshima.. Ndio maana nimeileta hapa ili ukweli ujulikane.. Na nimeiandika Kama kichokoo cha mada.. Wajuvi na wajuzi sasa wafanye kazi yao ukweli ujulikane.. Tuelimike wote mkuu wanguππΏππΏππΏMkuu Mshana Jr una heshima kubwa fanya uchunguzi juu ya ukweli wa taarifa unazotuletea hapa jukwaani, hakuna 10G hapa duniani.
Sasa kama 5G walisema inafanya mambo Makubwa kupindukia hiyo 10G itakuwa ni kitu gani? Au ni jina tu wamepachika?Kama tumefika tulipo, huko nako tutafika, ni wakati tu
USA wenyewe wakikusikia watakuona una changamoto kubwa ya akiliIla kwa china inayoijua, Kuna uwezekano mkubwa 4 G ya USA, ikawa na nguvu, na imara kuliko 10 G ya china
Nashukuru sana mkuu.Asante kwa heshima.. Ndio maana nimeileta hapa ili ukweli ujulikane.. Na nimeiandika Kama kichokoo cha mada.. Wajuvi na wajuzi sasa wafanye kazi yao ukweli ujulikane.. Tuelimike wote mkuu wanguππΏππΏππΏ
nyie endeleeni kutetea ujinga tu na kumsifia mama yenu mtakuja kutawaliwa upya nawaambieni.China tayari Imeanzisha Mtandao wa Broadband wa Kwanza wa "10G" Duniani! π€―
Kumbuka sio 6 ah 7G ni 10G!... Mshindani wake mkubwa Marekani bado anahangaika na 6G kuitafuta 7Gπ
Sisi huku Afrika tuendelee tu kunywa mtorii na kufanyiana figisu za kisiasa, hayo mengine tuyasome Kama simulizi za Alfu lela ulela au siku elfu na moja (1001)
Mvimba macho kapita na spidi ya ngiri kiyeo juu katuachia vumbi tuuπππ
NB: Tudadavue uhalisia wa hii habari
View attachment 3349310
haya maoni, kama wewe sio chadema nakunya humu jukwaani mods watazoa.Ila kwa china inayoijua, Kuna uwezekano mkubwa 4 G ya USA, ikawa na nguvu, na imara kuliko 10 G ya china