China ni kikaragosi cha Marekani

China ni kikaragosi cha Marekani

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,422
Tutake au tusitake marekani ni mjanja sana kutufanya vilaza duniani !.

Marekani anaitumia china kujifichia kwenye masuala
mengi huku tukifikiri china ndio mkombozi na mpinzani wa marekani.

Marekani imewekeza sana china kutokana na urahisi wa fanyakazi na mambo mengine.

Mazingira yanayo tengenezwa kuwa china ni adui wa marekani ilo usije jidanganya.

marekani imeanza kutumia china kuingia nchi ambazo upinga marekani wakizani china ndio mkombozi wao.

Mfano chip zilizoanzishwa kwenye vifaa vya umeme kama Hisilicon ambazo marekani kudai si salama kwake ni kudanganya hili viende kuchunguza nchi zengine zinazo mpinga.

Kampuni kubwa zinazoshikiliwa na marekani huko chini naweza kusema zipo asilimia 89% .

kama unajidanganya kuhusu marekani basi tambua kakushika mpaka sehemu zako za siri japo ufahamu
 
Marekani anaitumia china kujifichia kwenye maswala
mengi huku tukifikiri china ndio mkombozi na mpinzani wa marekani.

Marekani imewekeza sana china kutokana na urahisi wa fanyakazi na mambo mengine.

Mazingira yanayo tengenezwa kuwa china ni adui wa marekani ilo usije jidanganya.

marekani imeanza kutumia china kuingia nchi ambazo upinga marekani wakizani china ndio mkombozi wao.

mfano chip zilizo anzishwa kwenye vifaa vya umeme kama Hisilicon ambazo marekani kudai si salama kwake ni kudanganya hili viende kuchunguza nchi zengine zinazo mpinga.

Kampuni kubwa zinazoshikiliwa na marekani huko chini naweza kusema zipo asilimia 89% .

kama unajidanganya kuhusu marekani basi tambua kakushika mpaka sehemu zako za siri japo ufahamu
Hueleweki mkuu.

Danganya gani wakati akiona kampuni yoyote ya China inafanya poa anailima vikwazo.

Kampuni za tech, kama za quantum computing, kampuni kama Huawei ambayo ilikuwa inakuja vizuri sana, kampuni za research mambo ya anga na nyingine zote kazila ban.

Hata kampuni inayomiliki tiktok baada ya kuona inafanya poa akata ama iuzwe kwao au waipige ban.

China is a real threat to US
 
Tutake au tusitake marekani ni mjanja sana kutufanya vilaza duniani !.

Marekani anaitumia china kujifichia kwenye masuala
mengi huku tukifikiri china ndio mkombozi na mpinzani wa marekani.

Marekani imewekeza sana china kutokana na urahisi wa fanyakazi na mambo mengine.

Mazingira yanayo tengenezwa kuwa china ni adui wa marekani ilo usije jidanganya.

marekani imeanza kutumia china kuingia nchi ambazo upinga marekani wakizani china ndio mkombozi wao.
Mfano chip zilizoanzishwa kwenye vifaa vya umeme kama Hisilicon ambazo marekani kudai si salama kwake ni kudanganya hili viende kuchunguza nchi zengine zinazo mpinga.

Kampuni kubwa zinazoshikiliwa na marekani huko chini naweza kusema zipo asilimia 89% .

kama unajidanganya kuhusu marekani basi tambua kakushika mpaka sehemu zako za siri japo ufahamu
I said it in My previous Version
 
IMG_20220403_194844_501.jpg
 
Kasome mapinduzi ya Brazil ndio utaelewa kuwa una kichwa boksi...
 
Hueleweki mkuu...
Danganya gani wakati akiona kampuni yoyote ya China inafanya poa anailima vikwazo.
Kampuni za tech, kama za quantum computing, kampuni kama Huawei ambayo ilikuwa inakuja vizuri sana, kampuni za research mambo ya anga na nyingine zote kazila ban.
Hata kampuni inayomiliki tiktok baada ya kuona inafanya poa akata ama iuzwe kwao au waipige ban.
China is a real threat to US
Tupe balance of trade kati ya China na US, then tueleze hapa nani anamhitaji mwenzie zaidi ktk uchumi wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom