park don
JF-Expert Member
- Dec 2, 2017
- 4,953
- 7,097
HahahaaAisee you made my day,umenifanya nicheke kwa nguvu😂😂😂😂
HahahaaAisee you made my day,umenifanya nicheke kwa nguvu😂😂😂😂
Mkuu chimba sana maana kuna kitabu kina heading how to fight with China ,baba China mziki mwingine urusi cha mtoto,Tutake au tusitake marekani ni mjanja sana kutufanya vilaza duniani !.
Marekani anaitumia china kujifichia kwenye masuala
mengi huku tukifikiri china ndio mkombozi na mpinzani wa marekani.
Marekani imewekeza sana china kutokana na urahisi wa fanyakazi na mambo mengine.
Mazingira yanayo tengenezwa kuwa china ni adui wa marekani ilo usije jidanganya.
marekani imeanza kutumia china kuingia nchi ambazo upinga marekani wakizani china ndio mkombozi wao.
Mfano chip zilizoanzishwa kwenye vifaa vya umeme kama Hisilicon ambazo marekani kudai si salama kwake ni kudanganya hili viende kuchunguza nchi zengine zinazo mpinga.
Kampuni kubwa zinazoshikiliwa na marekani huko chini naweza kusema zipo asilimia 89% .
kama unajidanganya kuhusu marekani basi tambua kakushika mpaka sehemu zako za siri japo ufahamu
Nimejikagua sehemu za siri sioni niliposhikwa na marekanikama unajidanganya kuhusu marekani basi tambua kakushika mpaka sehemu zako za siri japo ufahamu
Dah ndugu una mawazo mabaya utakufa kwa mawazo.Tutake au tusitake marekani ni mjanja sana kutufanya vilaza duniani !.
Marekani anaitumia china kujifichia kwenye masuala
mengi huku tukifikiri china ndio mkombozi na mpinzani wa marekani.
Marekani imewekeza sana china kutokana na urahisi wa fanyakazi na mambo mengine.
Mazingira yanayo tengenezwa kuwa china ni adui wa marekani ilo usije jidanganya.
marekani imeanza kutumia china kuingia nchi ambazo upinga marekani wakizani china ndio mkombozi wao.
Mfano chip zilizoanzishwa kwenye vifaa vya umeme kama Hisilicon ambazo marekani kudai si salama kwake ni kudanganya hili viende kuchunguza nchi zengine zinazo mpinga.
Kampuni kubwa zinazoshikiliwa na marekani huko chini naweza kusema zipo asilimia 89% .
kama unajidanganya kuhusu marekani basi tambua kakushika mpaka sehemu zako za siri japo ufahamu
Kwa kipi? Naona Russia huitambui vyema.Mkuu chimba sana maana kuna kitabu kina heading how to fight with China ,baba China mziki mwingine urusi cha mtoto,
Umesema kweli maana naona mleta mada anaongea kwa hisia badala ya Takwimu..Hueleweki mkuu.
Danganya gani wakati akiona kampuni yoyote ya China inafanya poa anailima vikwazo.
Kampuni za tech, kama za quantum computing, kampuni kama Huawei ambayo ilikuwa inakuja vizuri sana, kampuni za research mambo ya anga na nyingine zote kazila ban.
Hata kampuni inayomiliki tiktok baada ya kuona inafanya poa akata ama iuzwe kwao au waipige ban.
China is a real threat to US
Well saidDah ndugu una mawazo mabaya utakufa kwa mawazo.
China ni threat kwa Amerika mzee kuanzia utawala wa Mao Zedong mpk kuja Xi Jing Ping.
Mao ndiye aliyeua American influence bara la Asia Jingping kaja kumalizia kuua influence Africa na South America huku akisambaza nguvu Europe.
Asilimia 70+ ya viwanda vya China ni vya wazawa na vya serikali,kufikia 1992 ambapo China ilikuja kutangazwa kuwa the most industrialized nation iliweza kujenga viwanda zaidi ya 50000 ambavyo ni vya serikali na wazawa.
Viwanda vya America China ni vichache sana na ht wakiviondoa tayari China anao watu na capital ya kuviendesha maana duniani the most skilled labours wako China na kwasasa the most strongest national bank ni Benki ya China.
Hata USA akimkataza China kuimport bidhaa zake USA China soko lake kubwa ni Africa,South America,Asia na Carrebean.
Acha hizo story za kusema China anatumika na USA ilhali toka kipindi Cha Mao Wana mvutano na wanapigana Vita za kibiashara mpk sasa.
Soma acha mawazo ya porojo.
Unaifananisha china na russia?🤔 Mkuu uko seriousKwa kipi? Naona Russia huitambui vyema.