Mwamba Usemao Kweli
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 744
- 186
Huwa najiuliza hivi sisi watz tunaoshabikia mafisadi na kuwaita majembe na wenye uthubutu huwa ni matahira? China wanawanyonga kwasababu wanajua kuwa wanadhulumu haki za wanyonge na kusababisha umasikini kwa walio wengi.
My take: Mwaka 2015 wote wenye tuhuma za rushwa na ufisadi wasipewe nafasi za uongozi na tuwakatae.
My take: Mwaka 2015 wote wenye tuhuma za rushwa na ufisadi wasipewe nafasi za uongozi na tuwakatae.