China kuuchukua uwanja wa ndege wa Zambia baada ya kuchelewa lkulipa madeni

Wamekuja kutushika waafrica, wanajua tuna njaa na tunapenda slope, watakuja kumiliki hiyo SGR, AIRPORT, IKULU, ARMY, BAHARI YA HINDI
 
Hii ni nzuri kabisa. Oh mikopo nafuu mikopo nafuu kumbe uwezo wakulipa mdogo.
Tunaacha pesa za bure kabisa kutoka Marekani na Ulaya eti zina "masharti" na kukimbilia China eti "mikopo nafuu"! Hivi "sharti" la Marekani na Ulaya kuzitaka nchi za Afrika zizingatie DEMOKRASIA au mikopo NAFUU ya China ambayo mwishowe utauza nchi ni kipi nafuu? Viongozi Afrika wana matege vichwani mwao wallahi!
 
Hivi nkikupa pesa ya bure harafu sharti langu niwe nakufukua mtaro harafu nkukopee na unilipe utachagua nini
 
Poor thinking! Ulaya na Marekani kuhimiza demokrasia ndio wanakufukua mtaro? China kukupa mikopo isiyolipika mwisho wa siku wanachukua miundombinu kwako ndio the best alternative?
 
Si ndo democracy ya watu wa ulaya hiyo harafu kwani unapokopa si uwamuzi wako uitumiaje. ..
 
Wewe ndo una poor thinking hivi kuna mikopo isiyolipika hafu eti marekani anakupa hela sharti lake demokrasia tu mzee unajitambua kweli
 
... madikteta Afrika yanakopa kwa niaba ya nchi ila kwenye matumizi yanajipangia yenyewe mwisho wa siku mzigo wa madeni unakuwa wa wananchi wote.
 
Wewe ndo una poor thinking hivi kuna mikopo isiyolipika hafu eti marekani anakupa hela sharti lake demokrasia tu mzee unajitambua kweli
Sina hakika kama unajua ulichokiandika hapo kwenye red! Kuendelea ku-argue na wewe ni kupoteza muda.
 
Wewe ndo hujui unacho kifikiri kabisa. Unafikiri bure ya mmarekani kwa sharti uwe unafukuliwa mtaro na uchafu wao mwingine.
 
Sina hakika kama unajua ulichokiandika hapo kwenye red! Kuendelea ku-argue na wewe ni kupoteza muda.
Hakuna mkopo usiolipika matumizi yako ndo yatakufanya ushindwe kulipa. Kama walikopa wakafeli matumizi acha waadabishe maana hakuna kitu cha bure
 
Wala tusiwacheke
Kama mtu unajua kabisa ukikopa nyumba huna uwezo wa kulipia kila mwezi lakini bado unaingia kichwa kichwa na baada ya mwaka tu unanyang'anywa na benki
Sembuse serikali zinazoongozwa na hao hao wenye wazo moja?

Mikopo hii ni hatari na wengi hawapendi kusoma small prints halafu pages ziwe nyingi ndio kabisaaa
Utasikia tu NISAINI WAPI

Ahahahahahaha na saini wapi ahahahahahahahaha
 
Back
Top Bottom