China kurudisha chombo cha Marekani ilichokikamata

China kurudisha chombo cha Marekani ilichokikamata

Ukimpiga mchina na urusi haitokaa kimya. ..marekani wanachimba mkwara tu
Marekani inawezaje kuipiga China? Hizo nchi ni za kupigana, kila mtu ana zana nzito za kivita wewe unafikiria mmoja kumpiga mwenzake, kwani wachina wanatumia visu kupambana na adui zao?
 
Hii imenifanya nijiulize maswai mengi kwa wakati mmoja, inamaana hizo nchi jirani na china hazina haki ya kuclaim maeneo katika bahari? Ukiangalia hiyo ramani unaona huo mstari mwekundu umepita jirani kabisa na pwani za nchi nyingine kama Vietnam, Indonesia.
Huu wote ni ubabe ama?
ndo hvyo ni ubabe tu nahis anaona yeye ni taifa kubwa lakin ana eneo dogo la bahari ukilinganisha na nchi zngne kubwa kama japan,russia na US ndio maana anajitahidi kuclaim haya maeneo...
 
Marekani inawezaje kuipiga China? Hizo nchi ni za kupigana, kila mtu ana zana nzito za kivita wewe unafikiria mmoja kumpiga mwenzake, kwani wachina wanatumia visu kupambana na adui zao?
Tafuta kuna clip kule YouTube jenerali mkuu WA Russia alikua anaongelea vita kati ya China na US na akasema kwamba iwapo vita ikatokea hv sasa kat ya China na marekan bhas itachukua muda WA lisaa limoja kwa China kuangamizwa kabisa.
 
chombo cha marekan kilichochukuliwa na uchina kimesharudishwa eneo lilelile kilipochukuliwa.....BIG BROTHER amesema wataendelea kupita eneo hilo kama international laws zinavyoruhusu
angalia hapa chini mahala drone hio ilpokamatwa na china ni karibu kabisa na ufilipino hapo ila china inasema eneo lote hilo la bahari ni lakwake na inademand wote wanaopita hapo kuitaarifu china but marekan amkua akikataa kufanya hivyo na kusababisha mzozo wa muda mrefu na china

_93004853_seized-us-vessel.jpg

Tafuta kuna clip kule YouTube jenerali mkuu WA Russia alikua anaongelea vita kati ya China na US na akasema kwamba iwapo vita ikatokea hv sasa kat ya China na marekan bhas itachukua muda WA lisaa limoja kwa China kuangamizwa kabisa.
China wanajua mmarekani ni nini, ndio maana hawataki kabisa mgogoro naye.

Wao wana focus katika kuimarisha uchumi wao wa ndani,maana wakijichanganya tu wanachanganywa.
 
South_China_Sea_claims_map.jpg

eneo lote la bahari lililoko ndan ya huo mstari mwekundu ni mali ya china-hio ni kwa mujibu wa serikali ya china...yaan hapo ni sawa na wahind waseme bahari ya hindi yote ni ya kwao mpk huku karibu na dar.....issue ya south china sea mchina analazimisha jambo ambalo mantiki halina kabisa yani ni yy mwenyew ndo anaelewa
Duuh
 
Tafuta kuna clip kule YouTube jenerali mkuu WA Russia alikua anaongelea vita kati ya China na US na akasema kwamba iwapo vita ikatokea hv sasa kat ya China na marekan bhas itachukua muda WA lisaa limoja kwa China kuangamizwa kabisa.
ww umemuamini hiyo jenerali?
 
siasa watz mnapenda hasa politics theory ....

kwa hakiri ya kawida kabsa china ana uwezo wa kubshna na USA KWELI ?ebu acheni utani bhna....
 
Back
Top Bottom