China kurudisha chombo cha Marekani ilichokikamata

China kurudisha chombo cha Marekani ilichokikamata

amygdala

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2016
Posts
1,082
Reaction score
999
china imeahidi kurudisha chombo cha marekan ilichokikamata mapema wiki hii katika bahari ya kusini mwa china. Aidha pentagon iliisisitiza china kurudisha xhombo hcho mara moja kwakuwa wakati kinakamatwa kilikuwa kwenye maji ya kimataifa na si ya uchina
Pia rais mteule wa mrekan Bw donald Trump ameishutumu china kwa wizi wa chombo hcho cha utafiti kilichokua kwe bahari ya kimataifa na kusema china imeiba chombo hcho kutoka maji ya kimataifa na kukipeleka china pia katika twita yake bw trump amesema wanaweza kuwaachia china chombo hcho

_93015038_capture.jpg

Lakin China kupitia msemaji wa wizara ya ulinzi imejitetea kwa kusema kuwa jeshi lake lilikikamata chombo hcho kwakuwa kilikua kinatishia usalama wa meli zinazopita eneo hilo na kuahidi kukirudisha kwa jeshi la marekan pia china imeilaumu marekan kwa kulikuza jambo hilo
Asia selected


China to return seized US underwater drone, Pentagon says
  • 8 hours ago
  • From the section China
  • _93014401_036923598-1.jpg
Image copyright AFP
Image caption The US said the drone, like the one pictured, was recording the salinity, temperature and clarity of the water
The Pentagon says it has "secured an understanding" with China that it will return an underwater drone seized in the South China Sea.

China captured the US vessel in international waters on Thursday. It has not explained why and accused the US of "hyping-up" the incident.

US President-elect Donald Trump accused the Chinese of "stealing".

"We should tell China that we don't want the drone they stole back - let them keep it!" he tweeted.

The incident is among the most serious military confrontations between the two powers for decades.

The Pentagon said the drone, known as an unmanned underwater vehicle (UUV), was being used to carry out scientific research at the time it was captured and demanded its immediate return. It warned China not to repeat such a move in the future.

But a spokesman said later on Saturday that an agreement had been reached.

"Through direct engagement with Chinese authorities, we have secured an understanding that the Chinese will return the UUV to the United States," Pentagon spokesman Peter Cook said in a statement.

The Chinese defence ministry said the vessel would be returned in an "appropriate manner". It is not clear when this might happen.

It criticised the earlier US response, calling it "inappropriate and unhelpful".

Mr Trump had already inflamed the Chinese by speaking on the phone earlier this month with the leader of Taiwan, breaking a long-standing US practice on the China-Taiwan dispute.

For the earlier tweet, accusing the Chinese of stealing, he drew criticism online for misspelling the word unprecedented - the latest in a series of errors in his Twitter posts. He has now corrected the entry.

A Chinese Navy ship seized the unmanned drone 92km (57 miles) north-west of Subic Bay near the Philippines in the South China Sea on Thursday.

The craft was retrieved and examined to maintain the safety of passing vessels, China's defence ministry said in a statement.

The US said the unmanned drone was being operated by civilian contractors and was about to be retrieved by USNS Bowditch, an oceanographic research ship.

It made a formal diplomatic complaint to China over the incident.

Senator Ben Cardin, the top Democrat on the Senate Foreign Relations committee, called the seizure "a remarkably brazen violation of international law", while Senior Republican Senator John McCain said the US should not tolerate "such outrageous conduct".

_93003565_bowditch.jpg

Image copyright US Navy
Image caption The USNS Bowditch was in the region to conduct research
Observers said the seizure was the most significant military incident between the two countries since a 2001 mid-air collision between a US Navy surveillance aircraft and a Chinese fighter jet that led to the death of a Chinese pilot.

It will likely add to US concerns about the growing military build-up by China in the South China Sea.

China has claimed territorial rights over parts of the region but its claims are disputed. It is not clear if China claims the territory in which the drone was seized.

A US think tank reported this week that aerial imagery shows that China has installed weaponry along seven artificial islands they have built at sea, despite US protests.

 
Baba mkwe naona kaandika tu ujumbe twitter wamerudisha trump sio mtu wa masihara atakwenda na kijiji shauri zao
Siyo sababu ya Trump

Washington na Beijing wanawasiliana.

Na sio kama waliiba ila China ilikuwa na wasiwasi kuwa chombo hicho kilikuwa cha kijasusi..

Kama ishu ya nyambizi kule Iran ,Tehran na Washington wakiwasiliana na kuyamaliza
 
Trump nae anabwatuka sana eti China wameiba chombo cha Marekani.
 
Ooooh Ooohh.. China must watch out very carefully.. Trump is not an ordinary average man..

Atacheza nao muziki wa kiuchumi hadi wakome.. Trump hadi hapo kashachukia, na hanaga negotiations na mtu akichukia, si unaona kasema wanaweza waachia na wakae nayo hataki warudishe, Trump atawanyoosha..

China watajutia hili, hawamjui Trump.. wait
 
Ooooh Ooohh.. China must watch out very carefully.. Trump is not an ordinary average man..

Atacheza nao muziki wa kiuchumi hadi wakome.. Trump hadi hapo kashachukia, na hanaga negotiations na mtu akichukia, si unaona kasema wanaweza waachia na wakae nayo hataki warudishe, Trump atawanyoosha..

China watajutia hili, hawamjui Trump.. wait
Wajutie nn

Kwahyo wasiwe makini na national security yao?

Ukizingatia kuna mgogoro south sea


Trump asiyemjua nani kama mropokaji mpk GOP wa republicans walimchoka..kidogo tu ana tweet ,siku zote mtu makini hana bla bla ,trump ni celebrity lkn nashangaa mnavyomshupalia
 
Wachina watamzimisha Trump,
wale sio watu wa mchezo mchezo asee,,
subirini aapishwe mtaona
 
Ooooh Ooohh.. China must watch out very carefully.. Trump is not an ordinary average man..

Atacheza nao muziki wa kiuchumi hadi wakome.. Trump hadi hapo kashachukia, na hanaga negotiations na mtu akichukia, si unaona kasema wanaweza waachia na wakae nayo hataki warudishe, Trump atawanyoosha..

China watajutia hili, hawamjui Trump.. wait
Mkuu unadhani trump ni mtu wa mihemko kama sizonje?? Marekani wanafahamu nini maana ya rais sizani kama anaweza kujisahau na kutuma jeshi kuipiga china!!!
 
Marekani inadidimia mkuu. siyo kama enzi hizo. ona mpaka uchaguzi wa rais unadukuliwa LOL
ila kweli pale ndio walionesha udhaifu. na hata wapinzani wake wa maswala vita waliona wazi kabisa kwamba naye
mmarekani kwa sasa anaweza kupigika.
na ndio maana wachina nao wakaamua kuishika meli ya kijinga kijinga.
 
inshu ya Russia kudukua uchaguz US ni propaganda za magharibi! teh! teh! mbona team russia sisikii mnasema haya?! au kwa kuwa mnaona ni sifa kwa russia!
 
South_China_Sea_claims_map.jpg

eneo lote la bahari lililoko ndan ya huo mstari mwekundu ni mali ya china-hio ni kwa mujibu wa serikali ya china...yaan hapo ni sawa na wahind waseme bahari ya hindi yote ni ya kwao mpk huku karibu na dar.....issue ya south china sea mchina analazimisha jambo ambalo mantiki halina kabisa yani ni yy mwenyew ndo anaelewa
 
South_China_Sea_claims_map.jpg

eneo lote la bahari lililoko ndan ya huo mstari mwekundu ni mali ya china-hio ni kwa mujibu wa serikali ya china...yaan hapo ni sawa na wahind waseme bahari ya hindi yote ni ya kwao mpk huku karibu na dar.....issue ya south china sea mchina analazimisha jambo ambalo mantiki halina kabisa yani ni yy mwenyew ndo anaelewa
Hii imenifanya nijiulize maswai mengi kwa wakati mmoja, inamaana hizo nchi jirani na china hazina haki ya kuclaim maeneo katika bahari? Ukiangalia hiyo ramani unaona huo mstari mwekundu umepita jirani kabisa na pwani za nchi nyingine kama Vietnam, Indonesia.
Huu wote ni ubabe ama?
 
Back
Top Bottom