Naam! Fursa ya kiuchumi hiyo. Nadhani sehemu ya parking kutakuwa ndio charging centers..Hii ni nzuri pia najiandaa kuwa na vituo vya kuchaji magari maana nahisi itakua kama simu tu unachaji na kubust technolojia hii itamuathiri mwarabu
"Never stop learning because life never stop teaching"
2019 Magari yataanza kutumika tutaraji 2040 yatakuwa kila Pahala yamesambaa- Ugunduzi wa mafuta kwa kipindi hiki kutabakia si kitu Kama plan hii ita develop harakaSana aisee.. Lakini hii ngoma mpaka 2040 huko sio leo..
Yaani Ndio utakuwa mwisho watahama jangwani afrika itajaa maana wazungu hawawataki watakuja shamba la bibi
Haya mawazo yangekuwa endelevu tz ingekuwa zaid y'a DubaiHii ni nzuri pia najiandaa kuwa na vituo vya kuchaji magari maana nahisi itakua kama simu tu unachaji na kubust technolojia hii itamuathiri mwarabu
"Never stop learning because life never stop teaching"
Hayawezi kuathirika maana huo umeme unazalishwa na mafuta. Kitakachofanyika ni mahitaji makubwa ya mafuta kwenye mitambo ya umeme ili kuweza kuzalisha umeme wa kutumika kwenye magari.
Mkuu umeme siyo mpaka uzalishwe Kwa mafuta unaweza zalishwa Kwa njia y'a Jua au Upepo hapa inahitajika vilainishi (oil) tuHayawezi kuathirika maana huo umeme unazalishwa na mafuta. Kitakachofanyika ni mahitaji makubwa ya mafuta kwenye mitambo ya umeme ili kuweza kuzalisha umeme wa kutumika kwenye magari.
Sijui kama umenielewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Afrika ugunduzi wa vitu vingi kwa ukuaji huu wa kasi wa technology utatuacha nyumaHuu ujumbe uwafikie Jirani zetu wanaotaka vita kisa kugundulika mafuta Ziwa Nyasa..
Engine inayotumia umeme haitaji vilainishi (oil) kwa sababu hakuna heat (joto) linalozalishwa. Kwa hiyo hata vilainishi havitahitajika.Mkuu umeme siyo mpaka uzalishwe Kwa mafuta unaweza zalishwa Kwa njia y'a Jua au Upepo hapa inahitajika vilainishi (oil) tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes OPEC na OIC zipo ila kwa kua bei ya mafuta inayumba hata uimara wa hizo taasis umeyumba pia.unajua waarab walitegemea sana mafuta.hawakufikir itakuja siku mafuta yawe si kitu.mimi nafikir watarud kwenye yaleyale maisha yao ya kale..kuhamahama jangwaniMwarabu atakuwa na hali mbaya sana maana ufahari na jeuri yao ni oil. By the way hivi OPEC na OIC zingalipo? Sijawasikia muda sasa.
Usisahau Angola na Nigeria, Kenya, sijui kama na Tanzania bado yapo au zilikuwa story tu...Hii ni nzuri pia najiandaa kuwa na vituo vya kuchaji magari maana nahisi itakua kama simu tu unachaji na kubust technolojia hii itamuathiri mwarabu
"Never stop learning because life never stop teaching"
Au kituo betri inabadilishwa kama mtungi wa gesi. Unaacha lililoisha unachukua lililo full fasta na kutembea. Nilisiki changamoto ya hii teknoloji ni kuwa mabetri ni ghali sana kuunda na max yana last km 100 hivi. Kimjinimjini yatafaa sana.Hii ni nzuri pia najiandaa kuwa na vituo vya kuchaji magari maana nahisi itakua kama simu tu unachaji na kubust technolojia hii itamuathiri mwarabu
"Never stop learning because life never stop teaching"