China is the largest economy in the world

China will never come close even by 40%......mrija mmoja tuu wa bidhaa wanazo supply us ukikatwa jamaa wameshuka kabisaaa....sitaj mingine
Na pia kwanza ukubwa wa GDP yeyote unaweza kuchangiwa na idadi ya watu wa taifa husika, watu wakiwa wengi basi hata production na consumption zinakuwa juu sana na hatimae kuongeza purchasing power parity kwa individuals. Na hiyo haimaanishi kuwa taifa lina uchumi mkubwa kwa sababu PPP mara nyingi huwa inaficha income gap baina ya watu na hiyo tayari ni dosari kwenye uchumi kwa sababu kuna wengi wanaweza wakawa sio wanufaika wa uchumi huo mkubwa.

Hizi data nnazoziona hapa ni kama tu zile za south afrika na Nigeria kuwa taifa lipi lina uchumi mkubwa. Nigeria wanaweza wakawa wana GDP kubwa in case of PPP ndio lakini angalia ni taifa lipi ambalo bado wanainchi wake wana changamoto nyingi za kiuchumi... Ndio utakuja kuona GDP sio inshu kabisa katika kulinganisha maendeleo au ukuaji ya kiuchumi.

Hivyo China kwa marekani hata subiri sana
 
Sasa shida inakuja wangap wanaweza kuelewa hili mkuu
 
Unajua kwanza inatakiwa tufahamu kuna economic growth na economic development tukiongelea uchumi.

Ukiongelea economic growth hapo factor kubwa hapo ambayo tunaipa uzito sana ni GDP labda na GNP.

Sasa tukijakuongelea economic development hapo tuna vitu kama unemployment rate,income inequality, technological advancement,corruption, living standard, GDP,GNP,mortality rate,per capita income,interest rates etc. Yaani hivi vyote tunavipa uzito sawa.

Sasa kwa hizi data zilizopo hapa ni kiashiria cha economic growth na wala sio economic development.

Na hatuwezi tukapima size of economy kwa kuangalia economic growth tuache kuangalia economic development ambayo inaweka economic variables zote kwenye mzani mmoja.

So obvious China anamzidi USA kwa economic growth tu na sio vinginevyo na kwa mantiki hiyo China ataendelea kuwa mdogo kwa marekani siku zote economically.
 
Naamin umebeba article za watu bila kuwa na elimu au utaalam wa uchum.
Soma nzia za kupata GDP hiyo unayo ongelea wewe na uifaham vema na utipite hayo mabandiko yako

It is NOT my instinct to answer a FOOL..!!
A stupid person is known by few words and writings as soon he/she started talking or writing a word.. Ur one..!! Keep learning and know well how to write even a simple word.. Ur purely ignorant & arrogant..!!
 
Kipimo bora kitakuwa, "Human Development Index", (HDI). Hayo sijui GDP/PPP hayaàkisi taswira kamili ya namna watu walivyo ki maisha.

Kuwepo juu kwa US na China kwa Nominal GDP/PPP haiakisi hali halisi ya wananchi wao ki-maisha kwani nchi hizo hasa China bado raia wàke wengi ni wachovu kabisa ki maisha na hali zao hazina tofauti na sisi huku tulio Sub Saharan Africa.

Tatizo kubwa kwa mataifa hayo ni kuwa zinawekeza fedha nyingi sana kwenye maswala ya ulinzi kuliko sekta zingine za maendeleo.
 
Usisahau na population ya nchi hizo.

China wapo zaidi ya bilioni moja.
USA wapo zaidi ya milioni 300.

Hivyo unaweza kuona Bado China inasafari ndefu kuikamata USA kiuchumi.
 
It is NOT my instinct to answer a FOOL..!!
A stupid person is known by few words and writings as soon he/she started talking or writing a word.. Ur one..!! Keep learning and know well how to write even a simple word.. Ur purely ignorant & arrogant..!!

Try to be wise person, educated person always show how the things is suppose to be, rather than walking necked to prove how angry you’re, that is madness!!!!
 
Marekani anadaiwa na mchina na still anaendelea kukopa. Chezea china babaa.
Unadhani anakopa kwa kua hana ela?!

Unajua kwamba China kumiliki sehemu ya deni la Marekani kwa kiasi fulani inasaidia pia kuongeza thamani ya Dola?!
 
Kipimo bora kitakuwa, "Human Development Index", (HDI). Hayo sijui GDP/PPP hayaàkisi taswira kamili ya namna watu walivyo ki maisha.

Kuwepo juu kwa US na China kwa Nominal GDP/PPP haiakisi hali halisi ya wananchi wao ki-maisha kwani nchi hizo hasa China bado raia wàke wengi ni wachovu kabisa ki maisha na hali zao hazina tofauti na sisi huku tulio Sub Saharan Africa.

Tatizo kubwa kwa mataifa hayo ni kuwa zinawekeza fedha nyingi sana kwenye maswala ya ulinzi kuliko sekta zingine za maendeleo.
Wachina bado ni masikini kama sisi. Huwezi kukuta mmarekani anauza vitumbua au karanga kariakoo.
Wachina wanauza mitumba, mahindi ya kuchoma, karanga, kachori, supu ya pweza, naujinga ujinga mwingi. Unakuta katoka kwao kama expert, eti expert wa kuchoma mahindi, wtf!
 
Ukweli mchungu ni kwamba njia hii ya ku-assess uchumi kupitia pucharsing power parity(PPP) imekua valid na acceptable miaka yote hii.
Lakini
Mpaka walipoona China wameifikia na kuizidi USA. Wameanza kuona haifai tena kutumika.

Kwa wasiofahamu, Sera ya IMF in World Bank zimekua zikibadilishana viongozi Kati ya USA na Western Europe kwa miaka sasa. Na wakitetea hoja yao kwamba wao wanauchumi mkubwa inabidi wausimamie kulinda maslahi yao pale.

Muda umekwenda all of a sudden China wameibuka wame dominate uchumi kuliko nchi za ulaya. Pia India, Japan, na and other Asian countries wameibuka sana.

Hawa wazungu wamepata kigugumizi kukabidhi WB na IMF uongozi kwa Asian countries am a dunia.
So China walishaliona hilo na wao wakaanzisha hicho wanachokiita BRICS(Brazil, Russia, India, China, na South Africa) ambapo China ndio mwenye bajeti ndefu kuliko wote hapa lengo Lao ni kuja kuitoa knock out WB and IMF.
Ambayo wanaishutumu kua ina sera za kinyonyaji, nk.
 
Try to be wise person, educated person always show how the things is suppose to be, rather than walking necked to prove how angry you’re, that is madness!!!!
Hii uliyoandika ndiyo lugha ya wapi? Naomba tafsiri ndugu yangu.
 
Kuna watu huwa wanakera sana, wakizidiwa hoja wanaleta matusi na lugha zakuudhi. Mtu alie elimika kwa hana asira na kila jambo hutatua kwa busara na hoja. Pia mazibizano ya hoja kwa hoja yanatupa uelewa mpana zaid bila kuangalia nan kashinda maana ktk hum hakuna anaemjua mwenzie.
 
Ukweli mchungu ni kwamba njia hii ya ku-assess uchumi kupitia pucharsing power parity(PPP) imekua valid na acceptable miaka yote hii.
Lakini
Mpaka walipoona China wameifikia na kuizidi USA. Wameanza kuona haifai tena kutumika.

Kwa wasiofahamu, Sera ya IMF in World Bank zimekua zikibadilishana viongozi Kati ya USA na Western Europe kwa miaka sasa. Na wakitetea hoja yao kwamba wao wanauchumi mkubwa inabidi wausimamie kulinda maslahi yao pale.

Muda umekwenda all of a sudden China wameibuka wame dominate uchumi kuliko nchi za ulaya. Pia India, Japan, na and other Asian countries wameibuka sana.

Hawa wazungu wamepata kigugumizi kukabidhi WB na IMF uongozi kwa Asian countries am a dunia.
So China walishaliona hilo na wao wakaanzisha hicho wanachokiita BRICS(Brazil, Russia, India, China, na South Africa) ambapo China ndio mwenye bajeti ndefu kuliko wote hapa lengo Lao ni kuja kuitoa knock out WB and IMF.
Ambayo wanaishutumu kua ina sera za kinyonyaji, nk.

Asante kwa Elim mkuu, maana umechambua vizur kabisa na unatusaidia na sis wenye elim ndogo ya uchumi, kuliko watu wanaobisha kwa kuleta maandiko ya watu bila kujua ndan kunanin bora heading inafanana
 
Back
Top Bottom