Mrengwa wa kulia
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 1,145
- 3,765
Baada ya rusian kupelekewa pumzi ya moto nilijua mbabe chinese atasimamia usawaziko wa mambo hapa Duniani.
China ni taifa linalojinasibu kwa nguvu za kijeshi Duniani na nilijua ni ya kwanza. ya pili Russia na ya Tatu ni marekani.
record ya Dunia inapotolewagwa kila mwaka kuonesha Usa
ni ya kwanza maranyingi hua naipuuza na kujikita zaid kwenye vyanzo vingine.
China na wao gwaride lao la kijeshi si haba wamnajimudu na kujinasibu kwa kumiliki technology kali za kijeshi kuliko yeyote Duniani lakini sasa msimamo wangu juu ya Uchina umesha ingia Doa.
USA
kumbe ni kitu kingine Uwazi na utetezi wa Democrasia unaifanya ionekane ni Wababe kuliko nchi nyingi za Kicomunist na kiarabu. kwani popote penye Democrasia ya kweli kuna mkono wa USA.
Hata tanzania
tukitaka urafiki na USA na maisha mazuri tuache undumi la kuwili tujikite zaid kwenye timu ya western nasi tutayaona matunda ya nchi.
USA haogopi vitisho anapo pambania Democracy na sasa amekua kama Mtoa Riziki wa Ulimwengu. ukijifanya imara zaid unakula Vikwazo vya kushiba na usiombe akupige vikwazo
USA NI taifa pekee lenye mamlaka ya kuwekea nchi nyingine vikwazo hata iwe ni nchi kubwa kiasi gani.
na vikwazo maranyingi vinamfanya USA kuwa na faida ya kutangaza Bidhaa zake na Bidhaa za washirika wake katika soko la Dunia.
nchi zilizo pokea demcrasia ya Marekani kwa mikono miwili hazikuachwa Yatima kamwe.
JAPAN
SOUTH KOREA
ISRAEL
TAIWAN
zingeangamia bila marekani hata baadhi ya nchi za kiarabu zenye uchumi mkubwa wanaanza kuweka mambo sawa na USA na ISRAEL. mfano. TURKEY
SAUDIARABIA, EGYPT
NK.
kiujumla China imenivunja sana moyo wangu kwani hawana msaada wala nguv kama nilivyo Amini.
washirika wa China ni vituko. Africa (ndumi la kuwiri), iran, north korea
russia,sir lanka, palestina, yemen
syria
bangladesh
Tanzania
kenya
nk
ZIARA ya pelos nayo ndo imenifanya niwazereu kabisaaaaaaaa.
sasa hivi waChina wa Kibaigwa wanahamisha magoli kwa speed ya hatari.
kila mtu alijua ndege ya pelosi itakabiliwa kijeshi eti kwenda taiwan ni kucheza na moto. moto wa nyoko.
sooon Taiwan inajitangazia uhuru maana ni huru tayari. tena uhuru akiutambua Marekani inatosha maana dunia nzima inajua Taiwan ni China ila mmarekan kasema No.
china wameufyata.
china walipiga kelele kama chura ukikanyaga maji wote kimyaaaaaa
ahsanteni kwa kunisikiliza.
China ni taifa linalojinasibu kwa nguvu za kijeshi Duniani na nilijua ni ya kwanza. ya pili Russia na ya Tatu ni marekani.
record ya Dunia inapotolewagwa kila mwaka kuonesha Usa
ni ya kwanza maranyingi hua naipuuza na kujikita zaid kwenye vyanzo vingine.China na wao gwaride lao la kijeshi si haba wamnajimudu na kujinasibu kwa kumiliki technology kali za kijeshi kuliko yeyote Duniani lakini sasa msimamo wangu juu ya Uchina umesha ingia Doa.
USA
kumbe ni kitu kingine Uwazi na utetezi wa Democrasia unaifanya ionekane ni Wababe kuliko nchi nyingi za Kicomunist na kiarabu. kwani popote penye Democrasia ya kweli kuna mkono wa USA.Hata tanzania
tukitaka urafiki na USA na maisha mazuri tuache undumi la kuwili tujikite zaid kwenye timu ya western nasi tutayaona matunda ya nchi.USA haogopi vitisho anapo pambania Democracy na sasa amekua kama Mtoa Riziki wa Ulimwengu. ukijifanya imara zaid unakula Vikwazo vya kushiba na usiombe akupige vikwazo
USA NI taifa pekee lenye mamlaka ya kuwekea nchi nyingine vikwazo hata iwe ni nchi kubwa kiasi gani.
na vikwazo maranyingi vinamfanya USA kuwa na faida ya kutangaza Bidhaa zake na Bidhaa za washirika wake katika soko la Dunia.
nchi zilizo pokea demcrasia ya Marekani kwa mikono miwili hazikuachwa Yatima kamwe.
JAPAN
SOUTH KOREA
ISRAEL
TAIWAN
zingeangamia bila marekani hata baadhi ya nchi za kiarabu zenye uchumi mkubwa wanaanza kuweka mambo sawa na USA na ISRAEL. mfano. TURKEY
SAUDIARABIA, EGYPT
NK.kiujumla China imenivunja sana moyo wangu kwani hawana msaada wala nguv kama nilivyo Amini.
washirika wa China ni vituko. Africa (ndumi la kuwiri), iran, north korea
russia,sir lanka, palestina, yemen
syria
bangladesh
Tanzania
kenya
nkZIARA ya pelos nayo ndo imenifanya niwazereu kabisaaaaaaaa.