China imefanya kitu cha kuishangaza dunia

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,359
Reaction score
2,789


Unaweza sema haiwezekani? lakini kwa nchi ya China imewezekana ๐Ÿ‘‹Ndani ya chini ya dakika 45, China imerusha roketi 4 tofauti kwenda angani! ๐Ÿ˜ฑ๐Ÿ›ฐ๏ธ

Kati ya Septemba 15โ€“16, 2026, China ilifanikiwa kurusha roketi 4 tofauti ndani ya takribani saa 45, kutoka vituo 3 tofauti vya kurushia roketi. Uzinduzi wote ulifanikisha kusafirisha mizigo yao angani kwa mafanikio.

๐Ÿš€ Roketi hizo zilikuwa:
1. Zhuque-2E โ€“ LandSpace
Roketi binafsi iliyobeba satellites 10 kwa ajili ya mtandao wa Qianfan, unaopangwa kufikia takribani satellites 15,000.

2. Gravity-1 โ€“ Orienspace
Ilirushwa kutoka platform ya baharini karibu na Shanghai, ikiwa imebeba satellites nyingine 9 za Qianfan.

3. Long March 12 โ€“ CASC
Roketi ya serikali iliyobeba satellites 9 kwa mtandao mwingine wa China wa broadband unaoitwa SatNet.

4. Pamoja na Kuaizhou-11
Ilipeleka satellites 2 za Earth observation/radar kwa ajili ya Spacety.

๐Ÿ”ฅ Hii inaonyesha jinsi China inavyoongeza kasi kwenye space technology, satellite internet na safari za anga. Unaonaje na Sisi Tanzania tukianza kurusha satellite zetu angani ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ.
 
Inabidi tuanze mara moja, shida ukisema hivi watu watasema sisi bado, anzisha kozi chuo kikuu, kama malekcha hamna weka malekcha wa mchongo, nunua vitabu malekcha na wanafunzi wao wadiskas.
 
Inawezekana ila tukiwa na viongozi wenye msimamo na uwajibikaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ