China has just banned the burqa in its biggest Muslim city

China has just banned the burqa in its biggest Muslim city

Status
Not open for further replies.

2013

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2011
Posts
11,365
Reaction score
6,086
weibo-poster.jpg
china-burqa-ban-xinjiang-web.jpg

Chinese authorities have banned women in the capital city of Xinjiang-an autonomous western region where Muslims account for almost half of the population-from wearing burqas in public, according to a brief article on a government-run website, Tianshan News. Local legislators for Urumqi proposed the ban in December, and now the regional legislature has approved it.It's not clear when the ban will go into effect. State media said only that it will be implemented after being modified to meet comments proposed in a meeting over the weekend.

The state-run news agency Xinhua justified the burqa ban by pointing out that burqas are also banned in
France (perhaps not the best example to use, given the recent extremist attack on French magazine Charlie Hebdo). The Xinhua report in English said, "Burqas are not traditional dress for Uighur women… The regulation is seen as an effort to curb growing extremism that forced Uighur women to abandon their colorful traditional dress and wear black burqas."

Chinese officials tell residents they will be safer if religious expressions are kept to a minimum, these measures are likely to continue.

source:
China has just banned the burqa in its biggest Muslim city – Quartz
cc Adiosamigo Elungata FaizaFoxy
 
Kila zama na ujinga wake na ..... Kama ndo wamegundua hilo nalo waliendeleze ...
 
Inabidi sasa waislam mjitathimni upya nyinyi pamoja na Mungu wenu. Haiwezekani kila kona ya dunia nyinyi mchukiwe.

Duniani humu kuna iman nyingi sana iweje uislam ndo uchukiwe. Fanyeni utafiti ili mgundue mlipo kosea Na mtuombe radhi
Hayajaanza leo hayo wala China si wa kwanza kuanza vitimbi kwa Waislam, wala hayatutishi wala hayatokuwa ya mwisho.

Watazuwia Waislam lakini hakuna awezae kuuzuwia Uislam.
 
Inabidi sasa waislam mjitathimni upya nyinyi pamoja na Mungu wenu. Haiwezekani kila kona ya dunia nyinyi mchukiwe.

Duniani humu kuna iman nyingi sana iweje uislam ndo uchukiwe. Fanyeni utafiti ili mgundue mlipo kosea Na mtuombe radhi

"Heri wenye kuuziwa kwa ajili ya haki maana ufalme wa mungu ni wao" Sasa ujue uislam ni haq kama dunia inaruhusu ushoga na usagaji ilhali ni njia mbovu kabisa na dini kubwa diniani zinakaa kujadili ushoga lakini uislam unaomfindisha binadam ajistili, ajiheshimu na mambo mangine waliyokua wanasisitiza manabii na mambo hayo mazur ya haq ndio yanafanya dunia ituchukie kama manabii walivyochukiwa basi tunafurahi kwa kuwa tutauona ufalme wa mbingu.
 
Hayajaanza leo hayo wala China si wa kwanza kuanza vitimbi kwa Waislam, wala hayatutishi wala hayatokuwa ya mwisho. Watazuwia Waislam lakini hakuna awezae kuuzuwia Uislam.
FYI: Muslims are minorities in China. China doesn't need them but it is you Muslims who needs China. In fact Muslims are below 2% in China while Christianity is above 8% of China's population. Now, it is like a trend, every country is against your religion, you need to start thinking, WHY? If they want to wear their junkie clothes, go back to your own country. They should be fined for wearing clothes like that,
 
Inabidi sasa waislam mjitathimni upya nyinyi pamoja na Mungu wenu. Haiwezekani kila kona ya dunia nyinyi mchukiwe.

Duniani humu kuna iman nyingi sana iweje uislam ndo uchukiwe. Fanyeni utafiti ili mgundue mlipo kosea Na mtuombe radhi
dogo lazima ujuwe dunia hii ni makazi ya shetani, haiwezekani shetani akapenda wafuasi wa Mungu. We bado tu umelala hujatafakari, ingekuwa uislam ni dini ya uwongo kama ya kikristo basi shetani angeiwacha tu ipepee bila matatizo.
 
Toa na idadi ya taifa teule lenu israel tuone waislam wangapi na wakristo wangapi roho mbaya tu kweli mpinga kristo atapata shida akija wewe baba ivyo je wanao si matatizo tu!
 
dogo lazima ujuwe dunia hii ni makazi ya shetani, haiwezekani shetani akapenda wafuasi wa Mungu. We bado tu umelala hujatafakari, ingekuwa uislam ni dini ya uwongo kama ya kikristo basi shetani angeiwacha tu ipepee bila matatizo.

Malizia maalim kama shetani alivyo uacha uhindu,ubudha,shinto,ukristo na nk kwanini ni uislam tu? mti wenye matunda lazima upigwe mawe.
 
haa mym acha ufananisho usio na msing. dunia nzima inachukia UGAIDI. waislamu wapo nchi nying tu wala hawabughudhiwi. tatizo ni dini yetu kuulea ugaidi nakuufanya ni moja ya misingi ya imani yetu. mi najisikia vibaya napoona mambo haya kwa kuwa nimekulia katika mazingira ya kuzungukwa na wakristo na wala hawakuwahi kunibagua wala kunichukia kwa sababu ya dini. wameniheshimu nimesoma shule za kikristo na wenzangu wengi tu tulikuwa tunaheshimiwa sana . tatizo watu flan flan maamuma wakaamua kutumia ujinga wa waislamu wengi kwa maslah yao. ni ajabu eti kuua kunatupeleka mbinguni. hakuna jambo kama hilo. tunachukiwa kwa sababu ya mauaji tunayofanya angalia boko haram.angalia al shababy,angalia akina osama.... kwa nini tusichukiwe wakati tunakata watu vichwa kwa vile tu wapo tofaut na dini yetu. tunapiga watu risasi vichwan kwa kuwa si waislamu? unadhan kwa stahili hii tutapata waumini wenye akili timamu? tutapata wanaopenda umwagaji damu wakaona dini zao haziruhusu hivyo wanahamia kwetu ili wapate amani mioyoni mwao. kama unabisha anzisha dini ya kula nyama za watu uone kama watu hawata jiunga nayo. kwa kuwa kuna watu wanakula nyama za watu utapata tu waumini. so tatizo si watu kuchukia waislamu tatizo ni matendo yanayoendana na uislamu. ni machukizo.sisi tumekuwa wanyama kuliko wanyama wenyewe. inshallaah labda tutakuja kujielewa. wabillah tawfiq
 
Basi kama ndo hivuo kaeni kwenye nchi ambazo mnahisi haziruhusu hayo mambo kuliko kwenda huko kuomba ifadhi alafu mnawaua. So Dhani kama ni busara.
"Heri wenye kuuziwa kwa ajili ya haki maana ufalme wa mungu ni wao" Sasa ujue uislam ni haq kama dunia inaruhusu ushoga na usagaji ilhali ni njia mbovu kabisa na dini kubwa diniani zinakaa kujadili ushoga lakini uislam unaomfindisha binadam ajistili, ajiheshimu na mambo mangine waliyokua wanasisitiza manabii na mambo hayo mazur ya haq ndio yanafanya dunia ituchukie kama manabii walivyochukiwa basi tunafurahi kwa kuwa tutauona ufalme wa mbingu.
 
Inabidi sasa waislam mjitathimni upya nyinyi pamoja na Mungu wenu. Haiwezekani kila kona ya dunia nyinyi mchukiwe.

Duniani humu kuna iman nyingi sana iweje uislam ndo uchukiwe. Fanyeni utafiti ili mgundue mlipo kosea Na mtuombe radhi
Hatuhitaji utafiti tayari tunaelewa kuwa huu ni woga wa makafiri dhidi ya uislam na waislam, Quran inasema kuwa makafiri wanawaogopa waislam kuliko wanavyomuogopa Mungu. Nyinyi ndo mnatakiwa kujiuliza kwa nini waandamwe wanaojistiri lkn wanaokwenda uchi wapongezwe? Jiulizeni kwa nini uislam haufi wakati mataifa makubwa na madogo duniani yanapiga vita uislam? Ni kwa sababu hii sio dini ya kubuniwa na watu Mungu mwenyewe anailinda.
 
You are wrong. China is a Communist Country/non theistic county.

Do your homework before you spew your venomous to Christian thinkers.
 
Margret Thacher alisema, ili dunia iwa salama na yenye amani, lazima tuufute UISLAM na UKOMONIST. She was right...!
 
The Math is simple:

1. Kama Uislam ulikuwepo tokea wakati wa Adam, kutokana na Quran
2. Kama kweli Ukristo ulianzishwa na Paulo, kutokana na Quran

MASWALI:
a. Kwanini Ukristo umezidi Uislam hapa duniani. Ukristo ni 5 Billion wakati Uislam ni 1.7 Billion?
b. Kwanini Allah ambaye ni akbar ashindwe vibaya sana na Paulo?

Haya msaidie Allah wako na tueleze,

NI IPI IMANI INAYO KUWA KWA 1: Uislam ni dini ya manabii hata Abraham alipozaliwa jamii iliyomzunguka ni waabudu masanam Nuhu alihubir miaka 950 alipata wafuasi wachache tu hata hiyo Yesu tunaelewa jinsi jamii yake kubwa ilivyomkana mpaka wakapanga njama za kumuua.kwa kuwa uislam ndio dini waliyohusiwa manabii basi tutapata wakati mgumu kama manabii.
2:Allah Akbar ajashindwa na paulo eti kwa sababu ya wafuasi kama kashindwa basi hata mungu wa manabii niliowataja alishindwa kwa sababu walikosa wafuasi wengi.Mungu ndo kaleta dini na yeye ndiye atakaye ilinda jiulize vita dhidi ya iislam leo hii ingekua dhidi ya wahindu au wabudha?
 
The Math is simple:

1. Kama Uislam ulikuwepo tokea wakati wa Adam, kutokana na Quran
2. Kama kweli Ukristo ulianzishwa na Paulo, kutokana na Quran

MASWALI:
a. Kwanini Ukristo umezidi Uislam hapa duniani. Ukristo ni 5 Billion wakati Uislam ni 1.7 Billion?
b. Kwanini Allah ambaye ni akbar ashindwe vibaya sana na Paulo?

Haya msaidie Allah wako na tueleze,

NI IPI IMANI INAYO KUWA KWA KASI......

Hii justification ya kuwa kila number ya wafuasi inapokuwa kubwa ndio hicho kitu ni sahihi imetoka wapi? Hivi biblia inayoaminiwa na hiyo number kubwa ya watu haioneshi kuwa mitume wengi walipingwa na watu wengi wa mataifa yao? na walikubaliwa na wafuasi wachache? Hivi yesu aliposulubiwa kama mnavyoamini Mungu wake alishindwa kumlinda so alishindwa na binaadamu kuzuia kifo chake?
 
Ustadhat kashaelewa huyu kama hataki uislam ndo dini ya manabii "anye boga" manabii walipata watu wachache sana sababu ndo njia ya uzima hiyo waendao ni wachache
 
Basi kama ndo hivuo kaeni kwenye nchi ambazo mnahisi haziruhusu hayo mambo kuliko kwenda huko kuomba ifadhi alafu mnawaua. So Dhani kama ni busara.

Marekani na washirika wake wanavyoenda kuua maelfu ya waislam Iraq,Libya,Afghanstan na kwingineko ndo busara mnayoipenda hiyo makafir kwa nini na wao wasikae katika nchi zao?Mungu alipo sema nguruwe haram alikuwa anamaanisha anamadhara unaona sasa akili zenu zinavyo dumaa.
 
@Ishmael hivi unadhani makafiri ni wakristo tu, ni yoyote asiyeamini Mungu wa haki yeyote asiyekuwa muislam hata hao wachina ni makafiri tu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom