China gives Tanzania $180m in loans | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

China gives Tanzania $180m in loans

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Invisible, Jan 16, 2010.

 1. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #1
  Jan 16, 2010
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  By Fumbuka Ng'wanakilala
  Sat Jan 16, 2010


  DAR ES SALAAM (Reuters) - China gave Tanzania $180 million in concessional loans on Friday as part of its pledge to provide $10 billion in low-cost lending to Africa over the next three years, Tanzanian Finance Minister Mustafa Mkulo said on Saturday.

  The agreement was unveiled during a visit to the Tanzanian commercial capital Dar es Salaam by Chinese Commerce Minister Chen Deming, who arrived on Thursday for a three-day tour of east Africa's second largest economy.

  China made the $10 billion pledge -- double the amount offered in 2006 -- at a summit in Egypt in November as it aims to boost a relationship with the continent which goes back decades politically and is now booming economically.

  Blossoming trade and business ties have attracted Western accusations that Beijing is solely interested in African resources and is ready to overlook poor governance.

  Chinese commentators respond that envious Europeans still treat the continent like a colony.

  "This loan is part of the fulfilment of promises made by China to provide $10 billion in concessional loans to Africa between 2010 and 2013," Mkulo told Reuters in an interview on Saturday.

  Mkulo said the loans would fund various development projects in infrastructure and information, communication and technology.

  He said Tanzania was also in talks with Beijing for additional loans in agriculture, railway infrastructure, transportation and for the upgrade and rehabilitation of Dar es Salaam's underperforming port.

  "There is a lot more to come from China," he said.

  Beijing says it also plans to help Africa develop clean energy generation and cope with climate change, encourage Chinese financial institutions to lend to smaller African companies and expand market access for African products.

  International donors fund a third of Tanzania's budget, but concerns over weak governance and corruption have prompted some to put the disbursement of loans on hold.

  China's relations with Tanzania flourished in the 1960s under the east African country's first President Julius Nyerere, an ardent socialist who visited the country numerous times.

  "Tanzania and China enjoy excellent ties ... It has never been better. We have a very, very good relationship politically, economically and socially," said the finance minister.

  Tanzanian President Jakaya Kikwete called at the signing ceremony for the broadening of trade between the two countries and said Chinese companies were welcome to invest in Tanzania.

  China is Tanzania's third largest trade partner, with exports from the east African country to Beijing rising by 46.7 percent in the first 11 months of 2009.
   
 2. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #2
  Jan 16, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  kwanini tunachukua mkopo wa $180m,wakati kuna hela zaidi ya hio mikononi mwa mafisadi na serikali haitaki kuzichukua? mbona wananchi tumebebeshwa madeni hili kuwanufaisha wachache?
   
 3. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #3
  Jan 16, 2010
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Loan loan loan vipi hawa?

  Swali je wanachukua loan kwasababu mkopo upo au kwasababu kuna miradi imekwama inahitaji pesa?

  Nionavyo mimi Tanzania wanachukua mkopo kwasababu tu anayekopesha yuko tayri kutoa bila kujua itatumika vipi?
   
 4. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #4
  Jan 16, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Alipoingia Mwinyi alikopa wee akaiacha nchi katika hali ngumu kabisa. Uchumi ukaporomoka na thamani ya pesa ikawa kwisha kabisa.

  Mkapa akaja akalipa weeeee, akapambana kupandisha uchumi wa nchi weee, akaimarisha thamani ya pesa na kuzuia mfumuko wa bei.

  Sasa amekuja Kikwete mwendo ni uleule kama wa Mwinyi, kopa weeee, didimiza uchumi wa nchi weee, tia umasikini nchi na shusha thamani ya hela.

  Raisi atakayekuja atafanya kazi ya kulipa madeni na kupandisha uchumi. Hapo tunapima performance ya wakristo na waislamu, ni kama Republican na Democratic.

  Mwingine kazi yake kukusanya, mwingine kazi yake kutumia.

  Tutaendelea kweli?
   
 5. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #5
  Jan 16, 2010
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Vangi, hii analogy imeniacha hoi!! Sasa wakristo ndio republican au ndiyo democrats?
   
 6. IronBroom

  IronBroom JF-Expert Member

  #6
  Jan 17, 2010
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 524
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nakerwa sana na watu wanaohusianisha utendaji wa wanasiasa wetu na Dini zao...please learn to separate an office from the office bearer!
   
 7. The Quonquerer

  The Quonquerer JF-Expert Member

  #7
  Jan 20, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 781
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hiyo ya Vangi ni kali! Mi naona ina ukweli ndani yake, lakini Mkapa alikuwa mwizi vile vile! Kufanya kazi si excuse ya kupora wanach maskini. Angeweza kufanya kazi na akala hela!
   
 8. bona

  bona JF-Expert Member

  #8
  Jan 20, 2010
  Joined: Nov 6, 2009
  Messages: 3,796
  Likes Received: 167
  Trophy Points: 160
  nimesikitishwa kwani kukopa kwa nchi za kiafrika si aibu, ni achievement kwa kua eligible kukopeshwa, mwalimu nyerere ktk vitu alivyovichukia ni kukopakopa na kutangaza kila kona ya nchi kana kwamba ni ufahari.

  pili uo mkopo tuna plan nao wowote, kwani wakati madeni yanalipwa kila mwananchi atajua serikali kwa sasa haina ela eti inalipa madeni, kwa nini serikali isitoe madeni yote nchi iliyonayo then iseme kila mkopo ulitumikaje then ndio tuambiwe tunalipa!

  je jitihada za kufunga mikanda kua tunalipa madeni zimeishia wapi, au zilikua mbio za sakafuni, watanzia tufaham ukopaji wa ela mara nyingi unaendana na thamani ya pesa kushuka, ii mfumuko wa bei (angalia bidhaa za chakula bei zake ziko mara tatu ya zilivokua kabla kikwete hajaingia madarakani wakati pato la mwananchi liko palepale) unaojitokeza kipindi ichi cha mr kikwete ni result ya kuchapisha mapesa ovyo na kukopa as a rsult pesa inakua nyingi kwenye mzunguko kuliko uzalishaji au upatikanaji wa vitu!

  in short hatuitaji mkopo tujipange kwa tulizonazo, kweli unaitaji mkopo kama nyumba ya gavana wa bot inakarabatiwa kwa zaidi ya billion? kweli ukistaajabu ya musa utayaona ya firauni
   
 9. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #9
  Jan 20, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  New EPA, remember what is to happen in cotyober 2010?
   
 10. k_u_l_i

  k_u_l_i Senior Member

  #10
  Jan 26, 2010
  Joined: Jan 26, 2010
  Messages: 122
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  "$180m low-cost lending" ??? Inatugarimu watanzania milioni ngapi?
   
Loading...