China fires 3 officials after deadly train crash

Rev.Kishoka

Platinum Member
Joined
Mar 7, 2006
Posts
4,527
Reaction score
1,555
Now talk about maamuzi magumu, swift decision making and no hadithi za kubembelezana kuvuana vyupi na magamba!

43 lives gone, three people fired, kwetu, lazima tuunde tume, kisha kamati, uje muswaada, hadidu rejea, hoja binafsi....na kadhalika na kadhalika kisha ushahidi hautoshi, tuwaite Interpol na Mossad!



China fires 3 officials after deadly train crash - World news - Asia-Pacific - China - msnbc.com
 

Ndio Bongo yetu hiyo Rev, mtu pamoja na kuvurunda vibaya sana bado anaweza kuwa na kiburi cha kusimama mbele ya kadamnasi na kutamka SIJIUZULU! na BOSS wake Mawingu kimyaaaaa πŸ™ πŸ™ πŸ™
 
usisahau kuwa tatizo sio treni wala reli
tatizo lilikuwa ni RADI sisi katika hali ya kawaida tungesema yote ni kazi ya Mungu
 
Kama alivyosema Vasco da Gama II, "...serikali haileti mvua kutatua tatizo la umeme nchini...!" Uwezo wake wa kufikiri umefika mwisho sasa...Tanzania tumekwisha!
 


Lets be serious; Radi ndio imepelekea yote hayo kutokea hao watu watatu wamejiuzulu kwa misingi ipi?

Kulingana na uzoefu wao .... Hili ni swali litakaloulizwa na Mh Rais, Mawaziri wake wote, Wabunge na Viongozi wote wa Taifa letu!

HOPE YOU WILL WAKE UP!!!!
 
Ndio Bongo yetu hiyo Rev, mtu pamoja na kuvurunda vibaya sana bado anaweza kuwa na kiburi cha kusimama mbele ya kadamnasi na kutamka SIJIUZULU! na BOSS wake Mawingu kimyaaaaa πŸ™ πŸ™ πŸ™

eti analitukana bunge kwamba ni kama komedy. hii sawa na kututukana watz wote mana sisi ndo tumewaweka pale. Watu wengine bwana wameiba mpaka wamevimbiwa
 
Kama alivyosema Vasco da Gama II, "...serikali haileti mvua kutatua tatizo la umeme nchini...!" Uwezo wake wa kufikiri umefika mwisho sasa...Tanzania tumekwisha!


Huyo ni rahisi ama RAIS?
 
usisahau kuwa tatizo sio treni wala reli
tatizo lilikuwa ni RADI sisi katika hali ya kawaida tungesema yote ni kazi ya Mungu


Mungu naye anabeba lawama zisizostail. Inawezekana hata zile mil 50 zilizochangishwa watasema kazi ya Mungu eh?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…