China declares war on ISIS after terrorists claim to have executed Chinese hostage

Isis wanapotupeleka pabaya. Nia yao kubwa ni kuanzisha vita kati ya waislamu na wakristo. Tunatakiwa kuwa makini sana na hawa jamaa na dini zote zishirikiane kuwapinga hawa shetani.Ndio maana wanajaribu kuchokonoa kila taifa hili wakianza kupigwa na haya mataifa watumie sababu hio kupata watu wa kujiunga nao kwa kuwadanganya kwamba haya mataifa yana chuki na uislamu na wanatakiwa waje kutetea uislamu.

Dunia inapoelekea pabaya na kila mtu mwenye kupenda amani anatakiwa kulipinga hili kundi.
 
naona kaka obama anazingua tu!! angekuwepo jeuri bush isis tungekuwa haipo ktambo!! ila kwa collabo la mrusi na mchna isis wataenjoy tu na shoo maana hii ni zaid ya featuring!!!
Obama amekuwa rais moumbavu na lofa kuliko maraiss waliopita. Obama siyo leader, bali ni manager. Obama si mtu wa kuona mbali ni mtu wa kufanya vitu vya muda mfupi. Kuna hotuba aliwahi kuitoa Bush akisema kuindoa majeshi iraq bila utengemano wa iraq ni hatari sana. Sasa obama yeye kaja kayaondoa na huku anajisifia, ila sasa ona gharama ilivyokubwa. Nadhani republican ni watu wa kuimarisha amani democrat ni uchumi
 
Hizo zote ni njama za marekani kutaka kujua kila nchi kubwa duniani ina silaha kali kiasi gani, hilo kundi linadhaminiwa na israel na america na saudia
 
Wachina nawakubali zaidi ya Wamarekani. Mbaya zaidi hawajui hata lugha zaidi ya kushambulia. Mchina ukimwambia Stop shooting kwao maana yake ongeza zaidi.

wachina hawana ubabe alionao Mmmarekani. China anangoja sanaa wa marekani na Urusi. tatizo la china yupo anapiga dili dunia nzima kwa sasa kukuza uchumi wa nchi yake ili aipite marekani kiuchumi. vita haipo kwenye akili ya viongozi wa Kichina, wao ni maneno bila vitendo. cha zaidi ni kwamba ili ISIS ishindwe lazima kuwe na jeshi kubwa la ardhini na sio kutegemea mashambilizi ya angani. kwa sasa Urusi inaamini kuwa jeshi la Syria litaweza kufanya kazi hiyo peke yake japo itachukua muda.
 
ina maana Assad ataendelea kuwepo tu.?
 
China ilishiriki kuwamaliza hawa magaidi au ilikuwa story tuu
 
USA katika moja ya game zao muhimu Sana,
Hivi mlishawahi kujiuliza isis wanatoa wapi silaha nzito na magari mapya kila siku??????
Wake up pipo, mtaendelea hivo hivo kuamini ya kuwa wanapigana na ugaidi, kumbe lengo Lao ni lingine kabisa, stay tuned for another episode, series bado iko na season kibao.
 
naona kaka obama anazingua tu!! angekuwepo jeuri bush isis tungekuwa haipo ktambo!! ila kwa collabo la mrusi na mchna isis wataenjoy tu na shoo maana hii ni zaid ya featuring!!!
Trump anakuja kumaliza tabu zote hizi.
 
USA katika moja ya game zao muhimu Sana,
Hivi mlishawahi kujiuliza isis wanatoa wapi silaha nzito na magari mapya kila siku??????
Wake up pipo, mtaendelea hivo hivo kuamini ya kuwa wanapigana na ugaidi, kumbe lengo Lao ni lingine kabisa, stay tuned for another episode, series bado iko na season kibao.
hapa kuna nchi inataka kuuziwa magaidi maana wale bwana ukiwaandamam nao wanaandama nchi yako...russia walivyoingia tu syria jamaa nao wakalipua ndege yao ya abiria kule sinai....naona harufu ya kaujanja ka marekan kuwauzia wenzie janga kubwa la kupambana na magaidi
 
wachina hawana ubabe alionao Mmmarekani. China anangoja sanaa wa marekani na Urusi. tatizo la china yupo anapiga dili dunia nzima kwa sasa kukuza uchumi wa nchi yake ili aipite marekani kiuchumi. vita haipo kwenye akili ya viongozi wa Kichina, wao ni maneno bila vitendo. cha zaidi ni kwamba ili ISIS ishindwe lazima kuwe na jeshi kubwa la ardhini na sio kutegemea mashambilizi ya angani. kwa sasa Urusi inaamini kuwa jeshi la Syria litaweza kufanya kazi hiyo peke yake japo itachukua muda.
Jaribu kuwa na fact kabla hujaongea kuhusiana na mambo ya kijeshi. Tofautisha Jeshi lenye Sera za offensive na la defensive kwanza ok!!!
 
Wachina nawakubali zaidi ya Wamarekani. Mbaya zaidi hawajui hata lugha zaidi ya kushambulia. Mchina ukimwambia Stop shooting kwao maana yake ongeza zaidi.

Nikweli! Ila Marekani hakupendezewa mrussi na mchina kuishambulia ngome yake (ISIS)
 
Back
Top Bottom