Nimeshtuka kidogo kumwona balozi wa China nchini TZ ktk mkutano wa CCM akiwa na Kinana(mzee wa Tembo).
Balozi huyo alikuwa amevalia kofia ya CCM na akapewa nafasi ya kuongea kidogo ktk mkutano wa Chama cha Chakachua Kila kitu,mkutano huo ulikuwa unafanyikia mkoani Shinyanga.
Wadau nisaidieni ni sahihi?
Au anafanya hivyo ili wanawe WAENDE SHULE km Nkamia alivyokuwa anafanya BBC na sasa BUNGENI?

Wachina ni janga la kitaifa tuwapinge kwa nguvu zote...
Kinana yupo Kazini michupi inawapwaya, nyie Piganeni Bungeni Chama kipo kutekeleza Ilani, We umeona Kapelo la CCm kavaa Mchina umekimbilia kuanzisha Thread, Mmeanza kuona 2015 karibu mmeanza kukwamisha Katiba ili uchaguz uchelewe muendelee kula Ihsaan ya Jakaya, 2015 Tukimuaga Jakaya Ikulu ndio Mwisho wenu mkimiss nenden mkale nae mananasi Msoga!
mkuu mbona hushtuki wewe ukiwa umevaa nguo yenye bendera ya marekani
Naam gwanda la jeshiulitaka avae gwanda?