chimbuvu 30 hours zisha expire!

chimbuvu 30 hours zisha expire!

mambo ya:A S-heart-2: yanatesa watu jamani
 
Huo ndio uanaume,paza sauti,nguruma,piga tambo mpaka dunia ikusikie.
Usiwe ka cha woga Nyani Ngabu ananyang'anywa mke ye anakodoa macho tu...hovyoooo

Anatanga na kichanga kutwa kiguu na njia

Na nani ampe rupia iende pasi na fadhila

Madhila anayopata nikimuona namhurumia

Natamani arudi kwangu ila kumwambia sio sawa

Mimi na yule tulipendana yule

Mimi na yule tulifunga ndoa

Maji ya mapenzi yaliyonyesha yalifata mkondo yakaenda

Na radi ikapiga kumaanisha nilimpenda

Mimi na yule

Tulipendana yulee

Mimi na yule

Tulifunga ndoa
 
Nyani Ngabu analia,
Mke kamkimbia,
Kwa bishanga kaingia,
Penzi analilia,
Mapigo ya kihaya,
Mama Ashrat anawayawaya,
Aliishi basi haya,
Kahamishiwa ulaya,
Ha
Bishanga jamani,
U hendsam hadi machoni?
Mapesa umesheheni,
Hujui uyafanyieni,
Tamati nimefikia,
Nyani ngabu pole zimemfikia,
Mimi sikumtakia,
Mkewe kumkimbia.
Copy: Lizzy........salimia unga ltd na arachuga wote.
Anatanga na kichanga kutwa kiguu na njia

Na nani ampe rupia iende pasi na fadhila

Madhila anayopata nikimuona namhurumia

Natamani arudi kwangu ila kumwambia sio sawa

Mimi na yule tulipendana yule

Mimi na yule tulifunga ndoa

Maji ya mapenzi yaliyonyesha yalifata mkondo yakaenda

Na radi ikapiga kumaanisha nilimpenda

Mimi na yule

Tulipendana yulee


Mimi na yule

Tulifunga ndoa
 
Last edited by a moderator:
Nyani Ngabu analia,
Mke kamkimbia,
Kwa bishanga kaingia,
Penzi analilia,
Mapigo ya kihaya,
Mama Ashrat anawayawaya,
Aliishi basi haya,
Kahamishiwa ulaya,
Ha
Bishanga jamani,
U hendsam hadi machoni?
Mapesa umesheheni,
Hujui uyafanyieni,
Tamati nimefikia,
Nyani ngabu pole zimemfikia,
Mimi sikumtakia,
Mkewe kumkimbia.
Copy: Lizzy........salimia unga ltd na arachuga wote.

Hao wanaokushobokea
Pole nawaonea huruma

Sawa ukuta kugombania
Wakati mlango wanauona

Huna nyimbo babu jinga
Mwisho wako umetimia
 
anatia huruma huyu dah!af midomo ka diamond


frustrated20black20man1.jpeg
 
Hao wanaokushobokea
Pole nawaonea huruma

Sawa ukuta kugombania
Wakati mlango wanauona

Huna nyimbo babu jinga
Mwisho wako umetimia
Utasema mengi,
Utakuja shindwa,
Huyo uliyempata,
Atakuja akutoroke
Anirudie we
Nilimzoesha
Maisha ya fahari
Wewe hutamweza
Source: mbaraka mwinshehe mwaruka {RIP}
Copy: phina........tukutane pale pa juzi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom