Chimbuko na asili ya ulimwengu

evonik

JF-Expert Member
Jun 12, 2015
3,998
5,150
Habari zenu, Wakuu



Awali ya yote ninamshukuru MUNGU kwa kunipa uzima tena.
Labda niiingie moja kwa moja kwenye mada. Vitabu vitakatifu vinatuambia MUNGU aliumba ulimwengu pamoja na mwanadamu ukiachilia mbali wanyama na mimea. Lakini kwa upande wa pili wanahistoria wanatueleza kuwa, Kuna hatua mwanadamu amepitia hadi kufikia hpo, kwa mujibu wa nadharia ya "evolution of man" ya Muingereza Charles Darwin anaeleza hatua hizo kwamba ilianza Primates (chimpanzee, gorillas, monkey etc) na ya mwisho ni homo sapiens (modern man) Lakini kwa mujibu wa wanahistoria hao ni 3 million years ago tangu mwanadamu aanze kuishi, na ni miaka zaidi ya 2000 baada Ya Kristo SWALI LA MSINGI? Je ni Muda upi ulio sahihi tangu mwanadamu, aanze kuishi hapa dunian?
 
Back
Top Bottom