Ushahidi wa mtu mmoja unakubalia au haukubaliwi ?Weka ushahidi nani aliona hii safari
Hakuna sehemu aliyosema amezuia miujiza haya unayasema wewe nimekuwekea aya ambayo unapotosha maana yake.Allah kasema amezuia miujiza wewe unasemaje?
Unarudia swali nimeshakujibu tayari.WeKa UshaIdi Nani AlionA Hii SAFAri
Safari ya Israa na Mirani ni muujiza au siyo muujiza ? Kupasuka kwa mwezi ni muujiza au si muujiza ?
Hahaha. Kijana kwanini husomi ?MAana nImESomA Mke Mtoto Aisha Kasema AlimuONa KalaLA MdA Wote
Acha kupotosha , Koran imeandikwa kwenye karatasi kutokea kwa Hafs , na hakuna original matini kabla ya Hafs , Yani ni masimulizi kutoka kwa kuto kwa kuto kwa mlolongo mrefuHafsi hana Qur'aan hili nilishakuelewesha usijitoe ufahamu. Na kuna namna kumi za usomaji wa Qur'aan na zote zilithibiti zama za mtume.
Hafs ni imamu wa Qur'aan namna ya usomaji wa Qur'aan alipokea toka kwa imamu Asswim na yeye akapokea kwa mwingine mpaka kwa mtume na kuna namna kumi za usomaji. Sisi watu wa Afrika mashariki tunasoma kwa usomaji wa imamu Hafsi,watu wa kaskazini wanasoma uzomaji wa Warshi na wengine na wengine.
Sasa unaposema tuna Qur'aan ya Hafs unaonekana huijui Qur'aan kijana ndiyo maana hujawahi kupatia katika hoja zako.
Swali langu liko pale pale nithibitishie ya kuwa Injili ya Yohana aliandika Yohana mwenyewe. Usikimbie maswal ina usiulinganishe Uislamu na dini yoyote ile wala Qur'aan na kitabu chochote kile.
😅😅 Means kwa muhammad ( swalallah alleyh wasalam) aliiruhusu na ndiyo miujiza aliyoifanya kwa waabudu sanamu wa makka hope umeifuatilia .Allah kasema amezuia miujiza kwa sababu kizazi kilicho pita kilikuwa hakiamini, pia akasema msimbane Muhammad kutaka muujiza maana yeye ni muonyaji tu
Nimecheka kwa nguvu , hakuna mtu aliona muhammad akipanda punda mwenye mabawa ,ila ni yeye mwenyewe kaja na stori,Ushahidi wa mtu mmoja unakubalia au haukubaliwi ?
Qur'aan inashuhudia hili na mjadala baina ya aliyoyaona mtume na wale waqureishi unathibitisha ukweli wa safari hii.
Hakuna sehemu aliyosema amezuia miujiza haya unayasema wewe nimekuwekea aya ambayo unapotosha maana yake.
Unarudia swali nimeshakujibu tayari.
Hahaha. Kijana kwanini husomi ?
Hakuna alipochanganya wewe ndo umejichanganya sasa ,kuna ishu inaitwa "long removed" kwenye geneology hasa kwa cousins hii inaonesha separation of generation kati ya mabinamu .Ndipo muhammad akachanganya dada wa Musa na mama wa Yesu
Naona lugh ya malkia inakupiga chenga kama ndugu Yako Mubarridi😅😅 Means kwa muhammad ( swalallah alleyh wasalam) aliiruhusu na ndiyo miujiza aliyoifanya kwa waabudu sanamu wa makka hope umeifuatilia .
Na hakuna sehemu imebainiswa kuwa Allah (the exalted one) alimnyima the prophet kufanya miujiza ( kwa amri yake) kama ipo onyesha.
Kachanganya Sana Yani mapaka harun ndugu yake Musa ni dada wa MaryamHakuna alipochanganya wewe ndo umejichanganya sasa ,kuna ishu inaitwa "long removed" kwenye geneology hasa kwa cousins hii inaonesha separation of generation kati ya mabinamu .
Maryam mama wa yesu alirithi hilo jina kwa maryam dada wa musa vivyo hivyo kwa baba yake alirithi jina hilo kwa baba wa musa aliyeitwa imran pia.
Na ukiangalia upande wa mama wa yesu ndipo ukoo mmoja na musa though genration wise wamepishana (rejea ishu ya long removed).
So Allah (The almighty) anapoongelea kitu huwa hakosei maana ndo anayejua history nzima in dertails.
Ilo bible lenu hamuwezi kulikariri ndo mna we sema ivo tuu usianze kuleta porojo nyngneHatunaga hiyo michezo , ila ukisikiliza mahubiri utasikia wanavyo taja mistari
Nikisha ona ivi najua sindano imeingia deep , haujui dini Yako tafuta shehe mpete ndio anaweza kidogo ku debate na MimiHuna ulijualo ww KAFIRI
Kwa nini tusikariri ?Ilo bible lenu hamuwezi kulikariri ndo mna we sema ivo tuu usianze kuleta porojo nyngne
Hujawahi kuwa hoja ya mashiko. Una ruka ruka swali langu ni kuwa nani amekwambia kuna Qur'aan ya Hafsi ?Acha kupotosha , Koran imeandikwa kwenye karatasi kutokea kwa Hafs , na hakuna original matini kabla ya Hafs , Yani ni masimulizi kutoka kwa kuto kwa kuto kwa mlolongo mrefu
Unasema Koran na hadith ni uongo Ulio wazi? Maana naweka maandiko YakoNilianza kwenye point kisha nikaja kwenye lugha.
Vile vile si lila mtu anafaa kujibiwa wengina nawapuuza kwa kuandika ujinga na uongo ulio wazi,na wewe miongoni mwa hao.
Nakuonya usidanganye hapa , hakuna matini ya uthuman , matini iliyopo ni kwa mujibu wa Hafs, acha uongo tuendelee na debateHujawahi kuwa hoja ya mashiko. Una ruka ruka swali langu ni kuwa nani amekwambia kuna Qur'aan ya Hafsi ?
Sasa nakuuliza swali wewe,imamu Hafsi amepokea toka kwa nani ?
Kingine suala la kwa kuandikwa Qur'aan na kuwa katika nakala moja ilikuwa ni kwa marejeo na ndiyo maana zikaa kuandikwa nakala tano na swahaba Uthman na kusambazwa katika miji mitano,lakini watu walikuwa wamehifadhi kwenye vifua. Katika nakala tano hizo ni kwa ajili ya marejeo,baadae ndiyo zikaandikwa na kutolewa nakala nyingi mpaka zikatufikia hapa. Usikimbie swali.
Swali langu ni kuwa nani amekwambia kuna Qur'aan ya Hafs ?
Kingine chain/sanadi ndiyo dini,ndiyo maana kwenye dini yenu kuna uongo mwingi sababu hamna chain ya wapokezi wa habari zenu.
Usikimbie hoja na ukiulizwa maswali jibu.Nimecheka kwa nguvu , hakuna mtu aliona muhammad akipanda punda mwenye mabawa ,ila ni yeye mwenyewe kaja na stori,
Kasome bible uone watu walikuwa wanaona muujiza , kipofu anaona mbele za watu , mfu anafufuliwa mbele za watu
Wapi nimesema hilo ?Unasema Koran na hadith ni uongo Ulio wazi? Maana naweka maandiko Yako
Miujiza ya Yesu imeandikwa wazi kwamba watu walionaUsikimbie hoja na ukiulizwa maswali jibu.
Kuto onwa hakumaanishi ya kuwa jambo halikuwepo.
Wewe ulimuona Yesu akihubiri Injili ? Sasa kipi kinakufanya uamimi ya kuwa Yesu alihubiri Injili ?
Pili,habari za Yesu alikuwa anazisimulia nani ? Naomba uniwekee chain ya upokezi wa habari za Yesu mpaka kufika kwake ? Swali kipi kimekufanya uamini ya kuwa kweli aliponya watu ?
Nilikwambia Aisha kasema kunyonyesha mtu mzima ilikuwa mara 10 Allah akashusha ikawa mara 5 wewe unasema ni uongo wa wazi sasa wewe na mke mtoto wa Muhammad nani mkweliWapi nimesema hilo ?
Usijitoe ufahamu kijana,umesema kuja Qur'aan ya Hafs,ndiyo utuambie iko wapi.Nakuonya usidanganye hapa , hakuna matini ya uthuman , matini iliyopo ni kwa mujibu wa Hafs, acha uongo tuendelee na debate
ALlaH ANalwambia unahufadhi kifuani ina maana alikuwa hajui ubongo ni nini?
Nikisikia Hafs kwa mujibu wa waislamu ni muongo na muiba kazi za uandishi za watu, ila waislamu walimuamini hivyo hivyo aseme koran aliyokariri waiandike , hakuna matini ya uthuman Dunia nzima , labda uko mbeleni mje muichimbe chiniUsijitoe ufahamu kijana,umesema kuja Qur'aan ya Hafs,ndiyo utuambie iko wapi.
Kwani Hafsi yeye amepata wapi ? Alimuona mtume ?
Hakuna matini ya Hafsi bali kuna Qur'aan ya hati ya Uthmaan (Ar-Rasmi al 'Uthmaan) na kuna viraa (namna ya usomaji sampuli kumi).
Ngoja nikuulize swali dogo,ukisikia Hafs unaelewa nini ?