mbona hujamalizia ayo maneno uloyagoogle kuna maelezo apo apo chiniya ilo swali lko uloulizaIt was narrated that 'Aishah said:
- Ni kwamba hakuna uhakika maana kuna aya zingine uthuman alichoma na zingine Aisha alisema zimeliwa na mbuzi kipindi wapo bize na msaba wa Muhammad
“The Verse of stoning and of breastfeeding an adult ten times was revealed1, and the paper was with me under my pillow. When the Messenger of Allah died, we were preoccupied with his death, and a tame sheep came in and ate it.” Sunan Ibn Majah 1944
- verses zote za kupiga mawe na kumnyonyesha mtu mzima mara 10 zilipotea kwa kuliwa na mbuzi
Tuhuma zipi izo? Na uongo upi huo lbda tutajie hapa tujifunze kwa pamoja
- Hafs alikuwepo miaka mingapi baada ya mtume?
- Na unajua Hafs anatuhuma nzito kutoka kwa waislamu kwamba alikuwa Muongo?
mbona hujamalizia ayo maneno uloyagoogle kuna maelezo apo apo chiniya ilo swali lko ulouliza
Nakujibu hili swali ila ilo swali lingine hukuliona?
- Nani alikuwa na uwezo wa kufuta au kubadili aya kwenye koran?
Unakijua Taurati kilishushwa kwa mtume gni?
Muhammad kabla hajapewa utume alikua akitumia dini ya nabii ibrahim na watu wa jamii yake wengi waliyaacha mafundisho ya nabii ibrahimu na kuabudu masanamu
Yy alikingwa na Allah toka mwanzo kutokufanya ibada hizo ndo akawa anaenda kwenye pango la hiraa
kma untka Maisha ya mtume nitakupa Audio usikilize tulivofundishwa na masheikh wetu
Japokuwa ni kichekesho kufuta alafu kuleta kama hiyo hiyo ila sio mada leoNakujibu hili swali ila ilo swali lingine hukuliona?
Jibu lako soma hii Aya hapa
View attachment 2014012
Kichelesho bcz sio dini yakoJapokuwa ni kichekesho kufuta alafu kuleta kama hiyo hiyo ila sio mada leo
Nani aliifuta aya ya kumnyonyesha mtu mzima na kupiga mawe?, Kumbuka mpaka muhammad wanaandaa kumzika aya zilikuwepo
jitaidi usitumia picha weka verse tu moja kwa moja
Umeniuliza maswali mengi mpk saiviJapokuwa ni kichekesho kufuta alafu kuleta kama hiyo hiyo ila sio mada leo
Nani aliifuta aya ya kumnyonyesha mtu mzima na kupiga mawe?, Kumbuka mpaka muhammad wanaandaa kumzika aya zilikuwepo
jitaidi usitumia picha weka verse tu moja kwa moja
Pale panasema zilifutwa kwenye recitation , ndio nikauliza nani anaweza kufuta aya, ukajibu allah , nikauliza unajua mpaka muhammad amekufa aya zilikuwepo? na walikuwa wanafanya kitendo cha kunyonyesha mtu mzimaKichelesho bcz sio dini yako
Nilikwambia ulipogoogle ple jibu lipo chini yke mbona unapenda kuchukua.mambo nusu nusu
M nimekuuliza swali.ple ata hujanijibu mpk saivi au ndo unatafuta kwanza hebu nijibu lile swali pale juu
malizia vizuri jibu lakoPale panasema zilifutwa kwenye recitation , ndio nikauliza nani anaweza kufuta aya, ukajibu allah , nikauliza unajua mpaka muhammad amekufa aya zilikuwepo? na walikuwa wanafanya kitendo cha kunyonyesha mtu mzima
Kama jibu ni ndio, nani kazifuta? na alipata wapi muongozo wa kuzifuta?
Umeniuliza maswali mengi mpk saivi
Embu nijuze kwanini nyie mumebadili bible na kutumia agano jipya?
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] Sasa mbona mna maagano mawili na kwanini?
- Hatujabadili bible , agano la kale linatumika na agano jipya linatumika, bible is the book of books
Umeshindwa kujibu swali ee ? m nilikua nakujibu apo kwa apo lbda nikupe udhuru unakusanya hoja zenye nguvu
- Hatujabadili bible , agano la kale linatumika na agano jipya linatumika, bible is the book of books
kwaio na ww unaamini kua hakuna Mungu?hapa ndipo kiranga anapo pata mashabiki humu zikija habari za kiranga msibitishe Mungu yupo mnaungana mkiachwa wenyewe mnao amini Mungu yupo napo mnapaluana.
Nimeshamalizia , Allah ndio anafuta verse mpaka aya , na koran yote hakuna aliposema alizifuta, muhammad kafa aya zipo chini ya mto wa aisha ambapo mbuzi akazilamalizia vizuri jibu lako
Acha uongo ww yni umeshindwa hoja saivi unaleta uongo wako hapaNimeshamalizia , Allah ndio anafuta verse mpaka aya , na koran yote hakuna aliposema alizifuta, muhammad kafa aya zipo chini ya mto wa aisha ambapo mbuzi akazila
Point ni kwamba Koran iliyopo sasa sio iliyokuwepo kipindi cha muhammad , imepitia kwa utham akachoma verses na maswahaba walio kariri wakaanza kufa na baada ya miaka 200 akaja Hafs ndio ikatolewa kichwani mwake ikaandikwa
Kasome ili ukija uulize maswali yenye nondo ndani yake[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] Sasa mbona mna maagano mawili na kwanini?
Ukisema acha uongo , nategemea ukweli uweke wewe au?Acha uongo ww yni umeshindwa hoja saivi unaleta uongo wako hapa
Mm nimekwambia ple ulipogoogle pana majibu yte na ww hukutaka kumalizia majibu vzr
Yni kwanza inaonesha ata uyo hafsa humjui ni nani
Nakuuliza hafsa ni nani?
We jibu swali usijikute mwambaKasome ili ukija uulize maswali yenye nondo ndani yake
Ndio maana unaona nikikuuliza kitu naweka na ushahidi wa Koran , tafsir au Hadith
Mfano ulisema muhammad aliwakuta wanaabudu masanamu , niakauliza swali hili hapo chini ambalo umelikwepa
Je kuabudu sanamu kunaweza kuwa kulianzishwa na Allah maana aliyatuma majini yamtengenezee Suleman wake Masanamu
- Koran 34:13. Walikuwa wakimfanyia alipendalo, kama mihrabu, na masanamu, ...........