Chimbuko la kabila la Wairaq

Maay/maji
Hame/ jasho sio joto
Wairanqw wametoka Ethiopia 🇪🇹 sio Iraq 🇮🇶. Wana hakuna uhusiano na waarabu

Maay humaanisha maji katika lugha za kiyahudi, kiaarabu na ki Amhara pia
 
Uko sahihi/ Uarabu ni culture sio race au ethnicity waarabu wana makabila na koo tofauti tofauti
 
Hahaahaha kabila gani lina heshima shaikh?
wee kabila gani maharagwe maji moja tu, halafu wanaojitahidi kutafuta maisha ni wanaume tu, wanawake wengi kama sio bar maids basi wanarandaranda kutafuta mabwana hadi wanazeeka. wanaume nao wana misimamo ya ajabu hadi huwa inawagarimu wenyewe. hao nao kweli wanidharau halafu niumie?
 
nitajie kabila lako nikutajie bar ambayo utawakuta dada zako wakihudumia bia na nyapu
 
nitajie kabila lako nikutajie bar ambayo utawakuta dada zako wakihudumia bia na nyapu
naomba niwithdraw kauli, nadhani natakiwa kuwaheshimu watu wote, hata wambulu, kwa namna zozote zile walivyo kwasababu hata nikisema wao ni malaya, mimi nilikuwa nafanya nao umalaya hivyo na mimi ni malaya ni neema ya Mungu tu ameniokoa. nawaheshimu kama mlivyo, sisi sote tu wenye dhambi na wadhaifu, kila mmoja wetu kwa namna yake, tunahitaji neema ya kuamua na kuwezeshwa kutubu kwa kumaanisha kuacha dhambi. hiyo ndio solution yetu sote.
 
hilo sio kabila lako taja kabila
 
Hahahahaahah mkuu hata bar nako ni kazi na sehem ya kutafuta maisha?!!
Au hujui maisha hayana Formular??
Huo kwao ndio mkoa una uhueni kwenye maambukizi ya ukimwi kwa mujibu wa TACAIDS. Nafikiri unaongea kwa majungu bila data
 
Beta Israel (house of Israel) wanaangukia kundi la cushites nchini Ethiopia na sio semitic people kama Amharic na Tigrayans. All in all broadly wanaitwa Afro-Asiatic people?!!
 
Wakipenda wamependa kuna kamoja tulipendana nina mke ndani,
Yule mtoto alikua anaamka asubuhi anaenda kunisubiri njiani kwenda ofisini.
Japo busu tu au kumbato,ndio aishi kwa amani.
Alikua anajua nna mke ila hajali.
Mtoto lainii,mzuri km malaika.
Kaumbika kila idara.
Aisee mtoto nilifungua geti mwenyewe.
Nywele zake niliziona mara ya kwanza siku tuko km Adam na Eva kwenye bustani ya guest.
Ilikua ni kujifunika mibaibui na burka mda wote.
Siku ndio nikaona uumbaji wa Mungu alipovua.
Dah muuza genre mnaa akaunguza picha, wife aliwasha moto pale kwao vibaya.
Mtoto wa watu akarudishwa Katesh.
"Aisha km bado uko hai salamu zako"💕
 
Nakazia zaidi, watu wa Arusha, Kilimanjaro na warangi si wabantu.
 
Utajiri au umasikini haumuumbi binaadamu, binaadamu huzaliwa uchi.
 
Beta Israel (house of Israel) wanaangukia kundi la cushites nchini Ethiopia na sio semitic people kama Amharic na Tigrayans. All in all broadly wanaitwa Afro-Asiatic people?!!
kwa taarifa yako, sio cushite wote ni wayahudi, ni wachache tu wanafahamiana kwa mwonekano, kwa lugha, na kwa dini, wamekuwa na torah yao tangi enzi za suleiman hadi kesho, na majority walikuwa wanabaguliwa na utawala wa ethiopia tangu enzi zote, kwasababu wao wanajitenga na waethiopia wengine, na Israel ilishawabeba karibia wote, zaidi ya laki moja, na waliobaki pale hata alfu 25 hawafiki, ethiopia ilisitisha operation moses baada ya kuona Israel inakuja kuwabeba. hao wamekuwa wakiabudu judaism miaka yote na hutembelea Yerusalem, kama unakumbuka, ilikuwa desturi yao hata kabla ya Yesu, kama unakumbuka tarishi alihubiriwa na Filipo, alikuwa ametoka kuhiji Yerusalem kwasababu alikuwa anaabudu judaism, na kizazi chao ni cha malkia wa sheba aliyezaa na suleiman. ila waethiopia wengine woote sio wayahudi.
 
Wayahudi sio cushites ni Semitic kama waarabu
ila kuna argument beta Israel wako categorized kama cushites
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…