Eneo la Mchanga mweupe linauzwa

Eneo la Mchanga mweupe linauzwa

JAMII BORA

Member
Joined
Apr 18, 2017
Posts
78
Reaction score
58
Nini: Eneo la mchanga lenye ukubwa wa hekari 31(thelathini na moja) linauzwa

Wapi: Wilaya ya Mkuranga, Kijiji ni Mwanambaya,Ukitokea Kongowe (Kupitia Kilwa Road),ni Kilometa sita toka kinapoanza kijiji hiki cha mwanambaya,eneo lipo kitongoji kinaitwa Mizugu.

Utanufaikaje: Kwa kila heka moja unayonunua ina takriban mita 64 urefu kwa mita 64 upana (wengine huita miguu sabini) kwa mita 2 kima kwenda chini. Hii hufanya ujazo wa mchanga kwa heka yako kuwa 64m *64m *2m =8192m3 ambapo kwa ujazo huo,utauza mchanga kwa tiper ndogo za ujazo 3.5m3 , tiper 2340 .Kwa kila tiper hulipa tzs 10,000 kwa mmiliki wa shamba.Hivyo kama msimu wa mvua(barabara zinasumbua),utauza heka kwa miezi miwili,ila msimu wa jua utauza heka kwa wiki tatu au nne,Makadirio ya mauzo kwa heka yakiwa ni 23,400,000/- (milioni ishirini na tatu,laki nne.

Bei:Kwa heka moja pekee ni milioni nane, Ukianzia heka tano inakuwa milioni sita na nusu kwa heka .

Utaratibu: Wasiliana nasi kama una nia ya kuwekeza kwenye mchanga, nitakuunganisha na Site Manager wetu anayepatikana 24/7 ukajionee shamba, uhakiki wa umiliki, barabara nk.

Mussa
0713-039875
 
Hesabu zako ziko sahihi sana, inaelekea uko vizuri kwenye hesabu kaka ila nataka kujua yafuatayo,
1) Hicho kimo cha mita 2 ukikwangua ile layer ya mchanga ya juu ambayo sidhani kama inafaa kujengea, hakitopungua??
2) Na Ukishachimba kufikia hicho kimo, chini zaidi ya hapo utakuta nini?? au utakuta aina gani ya udongo/mchanga??
3) Hicho kimo/kima cha mita 2 kiko constant eneo lote la shamba?? kwamba hakuna mahali kitaongezeka au kupungua??
4) Ukiacha mapato ya Tshs 10,000 kwa kila gari, hakuna gharama zingine zilizojificha??
5) Hiyo Bei ya Kuuzia shamba inatokana na nini?? market Price ya eneo au sababu mnunuzi akichimbisha machanga atapata hela nyingi basi na muuzaji nae anauza hela nyingi??
6) Kuna wachimbaji ambao tayari wanachimba vijiji au maeneo ya jirani na hapo??
7) Kama Muuzaji anauza shamba heka kwa mill 8 na mnunuzi atakuja kupata Tshs 23Mil after one month kama akichimbisha mchanga wakati wa jua, why muuzaji wa shamba asichimbishe mchanga yeye mwenyewe??
8 ) Muuzaji ni wewe au nani??
9) Mauziano hayo yanatambuliwa na serikali ya kijiji??
10) Na Machimbo hayo yanatambuliwa na Serikali?? means kuna vibali maalum mnunuzi atatakiwa aombe ili eneo lake liwe machimbo ya Mchanga??
 
Sawa ndugu, Kwa kuwa nina uzoefu na nachofanya,ngoja tuanze moja:
1.Tukisema makadirio ni kwamba inaweza pungua kima cha chini,ukafidiwa pembeni

2.Unaonekana hujawahi tembelea site za mchanga.Mchanga ukiisha kuna miamba,kuashiria umefika mwisho

3.Rejea jibu la kwanza

4.Gharama zimo. Mwekezaji mwenye nia,atapewa muda ajipime.Fursa ikitangazwa ni juu ya mwekezaji kukokotoa

5.Nimepanga bei itakayorudisha gharama nilizotumia kumiliki uwekezaji huu na faida kidogo ili nihamishie shamba la mikorosho Tanga,mapema mwakani

6.Wapo

7.Kama utakuwa umefanya biashara yeyote,utaelewa ili mradi ufanye vizuri,unahitaji management.Kwa sasa tunafocus kulima Korosho

8.Mimi ni meneja mauzo. utakutanishwa na mmiliki ukishaliona na kulipenda eneo

9.Ofisi ya kijiji ndipo hasa yanafanyika

10. Kongowe ni ukanda uliotengwa kwa uchimbaji mchanga.Ukianza chimba,unaenda serikali ya kijiji kukupa muhtasari
 
...
...
Kwa kila heka moja unayonunua ina takriban mita 64 urefu kwa mita 64 upana (wengine huita miguu sabini) kwa mita 2 kima kwenda chini. Hii hufanya ujazo wa mchanga kwa heka yako kuwa 64m *64m *2m =8192m3 ambapo kwa ujazo huo,utauza mchanga kwa tiper ndogo za ujazo 3.5m3 , tiper 2340 .Kwa kila tiper hulipa tzs 10,000 kwa mmiliki wa shamba.Hivyo kama msimu wa mvua(barabara zinasumbua),utauza heka kwa miezi miwili,ila msimu wa jua utauza heka kwa wiki tatu au nne,Makadirio ya mauzo kwa heka yakiwa ni 23,400,000/- (milioni ishirini na tatu,laki nne.
...
...
Heka Moja ni Cubic Meter 8,192 makadirio,
Na Gari moja ni Cubic Meter 3.5 Makadirio,

Kwa hiyo Heka moja itachukua Magari 2,340 yaani (8,192/3.5),
Nawaza hizi gari 2,340 zitaisha kweli ndani ya siku 60??
(Aprox Gari 39 kwa siku including sikukuu, saturday, sunday), tena hapa kipindi kirefu cha mvua
 
kwa nini uwaze? kakae njia za mchanga uhesabu tiper.
 
Back
Top Bottom