de98 JF-Expert Member Joined Aug 13, 2017 Posts 737 Reaction score 760 Jan 17, 2023 #1 Kwa wataalamu ambao mpo katika tasnia ya digital camera, naombeni mnisaidie kunipa machimbo ya maduka yanayouza camera nzuri na imara kwa Dar es salaam, nimejichanga nataka nianze mishe za upigaji picha na kuhariri. Natanguliza shukrani kwenu.
Kwa wataalamu ambao mpo katika tasnia ya digital camera, naombeni mnisaidie kunipa machimbo ya maduka yanayouza camera nzuri na imara kwa Dar es salaam, nimejichanga nataka nianze mishe za upigaji picha na kuhariri. Natanguliza shukrani kwenu.
Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 15,749 Reaction score 37,422 Jan 17, 2023 #2 nenda kkoo kuna duka linaitwa south to tanzania
de98 JF-Expert Member Joined Aug 13, 2017 Posts 737 Reaction score 760 Jan 17, 2023 Thread starter #3 chizcom said: nenda kkoo kuna duka linaitwa south to tanzania Click to expand... Mkuu kariakoo mtaa upi?
chizcom said: nenda kkoo kuna duka linaitwa south to tanzania Click to expand... Mkuu kariakoo mtaa upi?
Mnyiramba JF-Expert Member Joined Jun 19, 2022 Posts 1,207 Reaction score 3,300 Jan 17, 2023 #4 de98 said: Mkuu kariakoo mtaa upi? Click to expand... Tembea Kariakoo nzima hadi ulipate duka acha uvivu,ila Hakikisha unabeba maji ya kunywa lita 5
de98 said: Mkuu kariakoo mtaa upi? Click to expand... Tembea Kariakoo nzima hadi ulipate duka acha uvivu,ila Hakikisha unabeba maji ya kunywa lita 5
Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 15,749 Reaction score 37,422 Jan 17, 2023 #5 de98 said: Mkuu kariakoo mtaa upi? Click to expand... aggrey na likoma kalibia na mkombozi benki
jerryempire JF-Expert Member Joined Jan 4, 2017 Posts 5,882 Reaction score 10,218 Jan 17, 2023 #6 chizcom said: nenda kkoo kuna duka linaitwa south to tanzania Click to expand... doh hawa jamaa wako mpaka leo nilishanunuaga camera kwao 2016
chizcom said: nenda kkoo kuna duka linaitwa south to tanzania Click to expand... doh hawa jamaa wako mpaka leo nilishanunuaga camera kwao 2016
de98 JF-Expert Member Joined Aug 13, 2017 Posts 737 Reaction score 760 Jan 17, 2023 Thread starter #7 chizcom said: aggrey na likoma kalibia na mkombozi benki Click to expand... Shukrani sana mkuu
naa JF-Expert Member Joined May 5, 2013 Posts 2,040 Reaction score 4,732 Jan 18, 2023 #8 Pentagon store kinondoni
McRiyckeel JF-Expert Member Joined Jun 21, 2017 Posts 2,129 Reaction score 12,639 Jan 19, 2023 #9 Unahitaji camera gani nikufanyie mchakato